Balozi Dkt. Slaa na siasa za 2025 na kuendelea

Balozi Dkt. Slaa na siasa za 2025 na kuendelea

Wait! Time will tell. Nachompendea Mungu neno lake huwa ni kweli na Amina.
Ila watu kama wewe huwa mnaishi miaka mingi kustaajabu maajabu yake
Na watu kama wewe munaishi miaka michache maana hamna faida yoyote duniani
 
Mchezo ukienda ivo basi atakua na bahati y mtende sana kuwa raisi wa kwanza ndani ya CCM bila kupambana na kura za maoni za wajumbe wa mkutano mkuu bila ya kuwa na wapinzani wake ndani ya chama waliochukua fomu pamoja. Naona amsha amsha ya demokrasia ndani ya chama itapungua sana. Nahisi kunaeza kukawa na bosheni ili ku legitimize mchakato.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai si unaina mikeka ilivyotoka watoto wao wamepewa vyeo huo ni mkakati japo kwa hali inavyoonekana lazima price tag iko juu kuwa dishout Sukuma gang..
 
Back
Top Bottom