Mchezo ukienda ivo basi atakua na bahati y mtende sana kuwa raisi wa kwanza ndani ya CCM bila kupambana na kura za maoni za wajumbe wa mkutano mkuu bila ya kuwa na wapinzani wake ndani ya chama waliochukua fomu pamoja. Naona amsha amsha ya demokrasia ndani ya chama itapungua sana. Nahisi kunaeza kukawa na bosheni ili ku legitimize mchakato.
Sent from my SM-G9350 using
JamiiForums mobile app