Akilindogosana
JF-Expert Member
- Jan 12, 2020
- 4,303
- 12,679
Tetesi toka Twitter zinasema kuna mtu kalambishwa asali ya 12B na bado anahitaji mabilioni mengine ya kubustia 🤣Eti Mwamba asaidiwe. Mwamba kataitiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tetesi toka Twitter zinasema kuna mtu kalambishwa asali ya 12B na bado anahitaji mabilioni mengine ya kubustia 🤣Eti Mwamba asaidiwe. Mwamba kataitiwa
Hata wewe ungeletewa Lowasa wakati umekipigania Chama wacha Dr.Slaa aratibu anguko la Sultani.Mbona yeye alipewa na ubalozi akahongwa!
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
Mbowe asikibali kumpa chama. Kama mbaya iwe mbaya potelea mbaliSlaa awe makini asije kupewa kesi ya uchochezi ...
Slaa karudi Chadema kinyemela mpaka kuibuka kama Pro-Lissu kwenye hiki kinyanganyiro ?..........huu uchaguzi ni mtihani mzito kwa uhai wa Chadema
zitto junior Fundi Mchundo Retired JokaKuu
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
Sio Lisu Kuhakiki bali Katibu mkuu kutoa orodha yote wa wajumbe na mahala wanapotoka kwa umma. Siku ya kupiga kura ndio kila mtu ajulikane- sio haya mambo ya kwamba fulani kawakilishwa.timu ya lisu iandae mikakati ya kuhakiki wajumbe wapigakura kabla ya zoezi la uchaguzi
Asali ya 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣Kila nikingia humu JF, ninapokutana na nyuzi zinazoelezea mambo yanaendelea kutokea au yanayotarajiwa kutokea kwenye uchaguzi ndani ya Chadema kwa kweli bado siamini amini. Naona mauza uza tuu, ila kupitia sarakasi hizi nimejifunza mambo mengi sanaaa. Tuzidi kuliombea taifa letu lidumu kwenye amani, maana hapo ndipo salama yetu.
Madaraka ni kitu kingine kabisa
Fedha nayo ni habari nyingine aisee.
Kwa asali ya 12B lazima panoge, ni kulamba asali ya 12B 😋😋, ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣🤣Chadema pamenoga
Hata mimi nisingekataa. NaanzajeKwa asali ya 12B lazima panoge, ni kulamba asali 12B 😋😋, ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣🤣
Kuna watu ukoo mzima hawafikishi hata 1% ya hiyo 12B. Hiyo ni budget ya taasisi fulani serikaliniAsali ya 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣
🤣 mwanzoni nilikuwa sielewi naona mapichapicha. Baada ya tetesi toka Twitter kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B nikaelewa picha nzima 🤣🤣. Na bado mwamba anataka mabilioni mengine ya kubustia 🤣🤣🤣🤣🤣Hata mimi nisingekataa. Naanzaje
Wanamlaumu bure tu🤣 mwanzoni nilikuwa sielewi naona mapichapicha. Baada ya tetesi toka Twitter kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B nikaelewa picha nzima 🤣🤣. Na bado mwamba anataka mabilioni mengine ya kubustia 🤣🤣🤣🤣🤣
Tuambiane ukweli, Ni vigumu kwa mtu yoyote kukataa 12B+
🤣 ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣🤣 bitozo yupo serious mno kuutaka urais 🤣Wanamlaumu bure tu