Tetesi: Balozi Dkt. Wilbroad Slaa afichua siri mpya ya mikakati ya Mbowe kushinda uenyekiti. Apewa mapesa zaidi na Rais Samia na M/kiti CCM kummaliza Lissu

Alipolamba ubalozi hakusema kahongwa.

Alipolipiwa Serena hakusema chochote.

Dr Slaa alishaondoka CDM sijui anawashwa na nini.

Nilisema na nitasema tena na tena Lissu hana wapiga kura.

Lissu ana wadhabiki Club House ambao si wapiga kura.

Lissu kaingizwa chaka,atuliea keshapotea katika ulingo wa siasa.
 
Kiurahisi rahisi tu unaanzaje kuamini maneno ya Silaa aliyekununuliwa na hao CCM kwa kupewa Ubalozi, mapenzi ya dhati kwa CHADEMA ameyatoa wapi?

My Observations
Silaa ametumwa kuja kuwapeleka watu upande wa kushoto wakati mpira utapigwa upande wa kulia krb na besela!
 
Kila nikingia humu JF, ninapokutana na nyuzi zinazoelezea mambo yanaendelea kutokea au yanayotarajiwa kutokea kwenye uchaguzi ndani ya Chadema kwa kweli bado siamini amini. Naona mauza uza tuu, ila kupitia sarakasi hizi nimejifunza mambo mengi sanaaa. Tuzidi kuliombea taifa letu lidumu kwenye amani, maana hapo ndipo salama yetu.
Madaraka ni kitu kingine kabisa
Fedha nayo ni habari nyingine aisee.
 
timu ya lisu iandae mikakati ya kuhakiki wajumbe wapigakura kabla ya zoezi la uchaguzi
Sio Lisu Kuhakiki bali Katibu mkuu kutoa orodha yote wa wajumbe na mahala wanapotoka kwa umma. Siku ya kupiga kura ndio kila mtu ajulikane- sio haya mambo ya kwamba fulani kawakilishwa.
 
Asali ya 12B sio pesa ya kitoto 🤣🤣
 
Mmmhhh..!! Dr. Slaa sio mkweli, na mashaka sana na hii taarifa.
 
Hata mimi nisingekataa. Naanzaje
🤣 mwanzoni nilikuwa sielewi naona mapichapicha. Baada ya tetesi toka Twitter kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B nikaelewa picha nzima 🤣🤣. Na bado mwamba anataka mabilioni mengine ya kubustia 🤣🤣🤣🤣🤣


Tuambiane ukweli, Ni vigumu kwa mtu yoyote kukataa 12B+
 
Wanamlaumu bure tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…