Tetesi: Balozi Dkt. Wilbroad Slaa afichua siri mpya ya mikakati ya Mbowe kushinda uenyekiti. Apewa mapesa zaidi na Rais Samia na M/kiti CCM kummaliza Lissu

Mwenzio walau umemtambua kwa hayo, wewe ni nani sasa?

Mbowe ni pandikizi lenu ndani ya Chadema, hana hata haya

Libaba lizima linang'ang'ania madaraka kitu ambacho kimemshinda zaidi ya miaka 20 sasa

Kipi kipya atafanya sasa?
Mimi ni msaidizi wa slaa
 
We are watching every step
 
Propaganda ,harafu waache kumchafua Samia Kwa upuuzi wao.

Mwisho Serikali iwashughulikie wanaompaka matope Rais.
 
Hii ni habari nyeti sana. Ina maana sasa hivi mama anahangaika na kurudi ikulu tu? Nchi ya kipuuzi sana hii.
 
Lisemwalo lipo kama halipo lipo laja

Uhai wa CHADEMA kwa sasa upo kwa wajumbe wa mkutano mkuu taifa , na wao wakajichanganya tu wakamrejesha MBOWE ndio kwenda kuizika mazima

Huku kwetu isangamwaluhesha na ibhelaisuha wanamuhtaji LISSU na wajumbe tayari tumekwisha waambia wakijifanya hawatuelewi wakirudi waje waanze upya maana na sie hatutakuwa tayari kuendelea kuchezewa
 
Mbowe atashinda mapemaaa...alieko jikoni muheshimu
 
Jiandae kisaikolojia it will happen Lissu anashinda
 
Kukabiliana na huu uhuni wa CCM, Orosha ya wapiga kura na washiriki wa mkutano na mabaraza inaweza kuwa established mapema. Katibu mkuu anao waji u wa kiweka wazi orodha hiyo kwa viongozi wa kanda zote na kutoa mwongozo wa shughuli yote.
Timu Lissu ijipange tu vizuri na iwe tayari kwa lolote ikiwemo kukabiliana na virungu vya polisi.
 
Nyumbu wa Sultan Mbowe tulieni dawa iwaingie fresh,boss wenu anataka kuifanya Chadema kitengo cha CCM cha kupooza mageuzi ya kweli. Mwamba kavuta 12b na anataka aongezewe mzigo sijui kama anawagawia au anabunya mwenyewe tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…