Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ogopa serikali,slaa alikua serikalini juzi tu akipokea toka hazina,leo anachezesha dansi ndani ya chademaDuh Bhasi kaka Yangu Mbowe Kakalia Kuti kavu aisee
Hebu ielezee watu wapate faida!Utakuwa hujui maana ya neno Siasa.
Huyu msaliti a upadre mpeleke mahakamani atoe ushahidi, mbuzi takataka
View: https://youtu.be/lU_QbyAtMUM?si=Qdt19WOd_IGi962F
Duuh, mimi sikuwahi kufikiri wala kudhani kabisa kuwa kamanda wa anga na mwanaharakati wa siasa za mageuzi Tanganyika ndugu Freeman Mbowe kuwa ni shetani wa CCM - kijani aliyejificha kwenye gwanda la khaki la CHADEMA...!!
Katika VideoAudio Clip hiyo, Balozi Dr. Wilbroad Slaa aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CHADEMA kwa miaka 12 (2003 - 2015) na kufanya kazi chini ya uenyekiti wa Freeman Mbowe anafichua siri ya vikao kati ya Freeman Mbowe na Mwenyekiti wa CCM (Taifa) ambaye pia ni Rais wa JMT Bi. Samia Suluhu Hassan...
Dr Wilbroad Slaa anasema, amepewa taarifa na vijana wake ndani ya Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) juu ya kikao kati Rais Samia/CCM na Freeman Mbowe kujadili namna atakavyosaidiwa kushinda uenyekiti...
Anaendelea kusema kuwa, Rais Samia amekubali kumuongezea pesa Freeman Mbowe ili kugharamia mikakati ya ushindi wake na kwa hiyo wajumbe wajiandae kula pesa za bure za Samia Suluhu Hassan...
Aidha ameitahadharisha kambi ya Tundu Lissu kufahamu kuwa, Freeman Mbowe atapata msaada toka TISS, polisi na UVCCM wengi wataingia kama wajumbe wapiga kura na watavalishwa magwanda au jezi rasmi za CHADEMA...
Je, wajumbe 1,200 watashindwa kufahamiana na kudhibitiana ndani ya ukumbi? Timu Tundu Lissu fahamuni hili, jiandaeni kwa mapambano. Fanyeni kama TLS walivyofanya kumpigani Boniface Mwabukusi na kuibuka mshindi wa u - Rais wa TLS...
12B iko mezani kwako uiache? 🤣Isipokuwa Mimi. Pesa za hivyo sipokei aslani abadani maana najua consequences zake!
Mpeleke wewe kama unaweza...!Huyu msaliti a upadre mpeleke mahakamani atoe ushahidi, mbuzi takataka
Walivunja sheria ipi? Au kuna sheria ya ugegeu?Vigeugeu pia
Story za kwenye vijiwe vya boda boda.🤣 mwanzoni nilikuwa sielewi naona mapichapicha. Baada ya tetesi toka Twitter kuwa kuna mtu kalambishwa asali ya 12B nikaelewa picha nzima 🤣🤣. Na bado mwamba anataka mabilioni mengine ya kubustia 🤣🤣🤣🤣🤣
Tuambiane ukweli, Ni vigumu kwa mtu yoyote kukataa 12B+
Kina Samora Michel wa Msumbiji na wenzake harakati zao kuiokomboa nchi yao toka kwa ukoloni wa Kireno zilikuwa zinafanyika wakiwa nje na wenzao wengine wakiwa ndani ya nchi...We ushaona mkakati wa ushindi unapangwa hadharani hivyo.
Hapo 80% ya diaspora wana sikiliza sio kwa kujali bali wako vitandani wanatafuta usingizi. Rant kama hizo za mambo ya nchi yao zinaliwaza stress.
Hizo ni story toka Twitter na Dr SLAA kasema kaambiwa na mtu wa system, ILA 12B sio pesa ya kitoto 🤣. Iwe kweli au iwe uongo 12B sio pesa ya kitoto 🤣Story za kwenye vijiwe vya boda boda.
Usimchukulie poa Dr. Slaa wewe hao anaowasema usalama wa taifa huenda ni sehemu yao maana najua wako level tofauti tofauti lakini mama lazima alifanye hilo ili akipita Mbowe ni rahisi kumwamuru aweke mgombea dhaifu na atakayefuata matakwa ya Samia.Huyu msaliti a upadre mpeleke mahakamani atoe ushahidi, mbuzi takataka
Hizo tetesi zimeanzia Twitter na Dr Slaa kazungumzia hilo suala, mtu kalambishwa asali ya 12B+ lazima pachangamke, 12B sio pesa ya kitoto 🤣We ushaona mkakati wa ushindi unapangwa hadharani hivyo.
Hapo 80% ya diaspora wana sikiliza sio kwa kujali bali wako vitandani wanatafuta usingizi. Rant kama hizo za mambo ya nchi yao zinaliwaza stress.
Mkuu embu jiunge sauti ya wa Tanzania kama bado.Kina Samora Michel wa Msumbiji na wenzake harakati zao kuiokomboa nchi yao toka kwa ukoloni wa Kireno zilikuwa zinafanyika wakiwa nje na wenzao wengine wakiwa ndani ya nchi...
Tena wakati huo teknolojia ya mawasiliano ilikuwa duni sana ukilinganisha na sasa...
Kwa leo, ishu nyeti kabisa inaweza kufanyikia ikulu ya magogoni DSM lakini ikaibukia London Uingereza...!
Kuweni makini. Msifikiri hamjulikani...
Dr alishaondoka CDM siku nyingi anachofanya sasa ni kutumia mbinu chafu za kuharibu ambazo zomepitwa na wakati.Hizo ni story toka Twitter na Dr SLAA kasema kaambiwa na mtu wa system, ILA 12B sio pesa ya kitoto 🤣. Iwe kweli au iwe uongo 12B sio pesa ya kitoto 🤣
Wamachame wamevurugwa sana na counter attack ya Lissu kila mmoja anabwabwaja kivyake utafikiri wamekunywa maji ya chooni.Nimecheka kwa nguvu vibaya, eti siasa chafu cdm ndio waanzilishi, kwanza una umri gani? Kuelekea uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi hapa nchini wa 1995, makada wa ccm na Nyerere akiwa hai, walikuwa wanazunguka mitaani wakionyesha video za vita ya mauaji ya kimbari ya Rwanda, wakisema mkichagua wapinzani wataleta mauaji kama hayo. Sasa endelea na upotoshaji wako mwingine kwenye waasisi hao wa siasa chafu hapa nchini.
Kama ni uongo mimi sijui, na kama ni ukweli mimi sijui. Ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣Dr alishaondoka CDM siku nyingi anachofanya sasa ni kutumia mbinu chafu za kuharibu ambazo zomepitwa na wakati.
Na mwamba alishaiweka kibindoni na anadai nyingine anasema kazi imekuwa nzito sanaKama ni uongo mimi sijui, na kama ni ukweli mimi sijui. Ila 12B sio pesa ya kitoto 🤣
Bitozo lazima atampa tu 🤣Na mwamba alishaiweka kibindoni na anadai nyingine anasema kazi imekuwa nzito sana
Simtetei huyu lakini walau yeye alifanya hadharani na kila mtu aliona, mwamba (kama madai ya Dr. Slaa ni ya kweli ) kafanya gizani, watu hawaoni and hence jambo alilolifanya ni OVU mbele ya jamii.Mbona yeye alipewa na ubalozi akahongwa!