DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

CWR2016

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2017
Posts
2,773
Reaction score
6,349
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.

Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.

Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga Serikali.

Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za kiintelijensia.
 
Umeamua kuleta uzushi wako hapa, hata Kidata alivuliwa hadhi ya ubalozi na shujaa kwahiyo kama ulozi wako upo sahihi si jambo la ajabu.

Huyo babu msaliti kwa wenzie hana moral authority ya kuzungumzia chochote maana hana huo usafi.
 
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.

Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.

Ilikuwa akamatwe jnne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga serikali. . .

Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Welcome IS----, State in Tanzania
 
Umeamua kuleta uzushi wako hapa, hata Kidata alivuliwa hadhi ya ubalozi na shujaa kwahiyo kama ulozi wako upo sahihi si jambo la ajabu.

Huyo babu msaliti kwa wenzie hana moral authority ya kuzungumzia chochote maana hana huo usafi.
Kwa do yako tu you're biased. Mtu atakaye argue na wewe nadhani Ni mjinga hajui how our mind works
 
Ubalozi haendi nao kaburini, kama wanauona wa maana wampe Samia awe Rais balozi, halafu baada ya hapo atujibu maswali yetu, kwanini bandari zetu watanganyika kawapa wajomba zake milele?

Hii dharau ametufanyia makusudi kwa sababu gani? Yeye ni kiongozi wa watanganyika au waarabu?
 
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.

Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.

Ilikuwa akamatwe jnne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga serikali. . .

Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia# [emoji3064]
 
Umeamua kuleta uzushi wako hapa, hata Kidata alivuliwa hadhi ya ubalozi na shujaa kwahiyo kama ulozi wako upo sahihi si jambo la ajabu.

Huyo babu msaliti kwa wenzie hana moral authority ya kuzungumzia chochote maana hana huo usafi.
Napingana na Dr. Slaa kwa mengi lakini kwenye hili la bandari amesaidia sana kuonesha sana uzalendo na kujitoa kuipigania Tanganyika kwa jasho na damu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi,ubalozi ni vazi kwamba ukivuliwa unabaki uchi?Kwani mtu akigoma,kwa hiyari yake,kukuita Mshana ndiyo palepale unakuwa siyo Mshana?😂
 
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.

Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.

Ilikuwa akamatwe jnne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga serikali. . .

Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Nyakati za mwisho za serikali hii zimefika, asema Bwana, hii inaendelea kuvua wapambe na wahusika wa mkataba huu , huwezi tumia nguvu badala ya hoja kama mkataba ulioingia upo na manufaa kwa nchi , twende tu
 
Hivi,ubalozi ni vazi kwamba ukivuliwa unabaki uchi?Kwani mtu akigoma,kwa hiyari yake,kukuita Mshana ndiyo palepale unakuwa siyo Mshana?[emoji23]
Mueleweshe huyo Mzee maana amekuja kuleta mada kujitengenezea amnesty, kama umepewa hadhi kisha ukaharibu hiyo hadhi unafikiri bado utabaki nayo?
 
Back
Top Bottom