Moshi25
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,555
- 4,118
Hili suala la Mkataba wa chief mangungo wa kuuzwa bandari yetu milele litatugawa Taifa Zima pande mbili , wanaokubali na wanaokataa na Kwa vile bandari waarabu wamepewa milele basi Mgogoro huu nao ni WA milele daima dumu! Kamwe watz Hatutokubaliana milele!
umoja wa Taifa la Nyerere kwishney!
Huyo Bw Slaay ana haki kama raia kulalamika maana hakuna mmiliki wa nchi au Mali za nchi!
Ila mi niko upande wa HAPANA! Kama ukiwekwa ukomo wa Mkataba nakuwa NDIYO! Mlio upande wa Ndiyo poleni kwa kuendekeza ujinga na utumwa wa mtu mweusi!