Muju4
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 5,489
- 7,446
Hata Yuda ukimtazama hivyo unaweza kumkuta na hoja ila kubwa yeye ni msaliti.Angalia hoja zake kuhusu Hilo libandari usimuangalie kama slaa msaliti...UTAMUELEWA TU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Yuda ukimtazama hivyo unaweza kumkuta na hoja ila kubwa yeye ni msaliti.Angalia hoja zake kuhusu Hilo libandari usimuangalie kama slaa msaliti...UTAMUELEWA TU
Hiyo ni CV yake inaenda naye mahala popote aendapo huwezi kosa kuzungumzia tabia zake za kiusaliti.nani amekwambia kuzungumzia mkataba mbovu wa bandari inahitaji uwe na moral authority? na ni kwa nini issue ya bandari inaihusisha na kuondoka kwake chadema?
Zimwi la DP World kwa sasa haliwezi kunyamazishwa kwa namna yoyote ile. Iwe kwa vitisho, kuwateka watu, kutumia propaganda au njia nyingine yotote ile, haitawezekana kabisa.
Zimwi hili lipo kila mahali, mitaani, majumbani, na popote pale.
Damu ya mwanamapinduzi JPM haiwezi kupotea bure tu, ni lazima izae matunda na matunda yenyewe ndo haya.
Watu wapo tayari kwa lolote lile kwa ajili ya kutetea Rasilimali za Nchi kama JPM alivyojitoa sadaka kwa ajili ya hilo.
gandamana na fikra potofu tu....kwenye siasa hakuna usaliti, kuna fursa....akili kubwa tu ndiyo wanaelewa hili.Hiyo ni CV yake inaenda naye mahala popote aendapo huwezi kosa kuzungumzia tabia zake za kiusaliti.
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.
Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.
Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga Serikali.
Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
gandamana na fikra potofu tu....kwenye siasa hakuna usaliti, kuna fursa....akili kubwa tu ndiyo wanaelewa hili.
ndiyo sababu nimekwambia ni fursa kisha unauliza walimpaje ubalozi...wake up. acha visirani vya kijinga.Ndo hiyo fursa imegandamana naye kuwa ni mtu msaliti msaliti tuu hata huo ubalozi sijui ilikuwaje wakampa wakati wanamjua alivyo msaliti.
Ndo hata wakimuondolea hiyo hadhi watakuwa hawajakosea kabisa anastahili, maana msaliti huwa aachi usaliti hata siku moja.ndiyo sababu nimekwambia ni fursa kisha unauliza walimpaje ubalozi...wake up. acha visirani vya kijinga.
Mwanamapinduzi asingeweza kufanya ujinga huu.Huyo mwanamapinduzi ndio muasisi wa huu mpango, aliwapa muda tuu "Tiktsi" ili wafungashe mizigo yao.
Ndo ameuasisi sasa.Mwanamapinduzi asingeweza kufanya ujinga huu.
Aliewazunguka ni alie mkaribisha Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais, kwanini mnashindwa kuliona hilo?Naaam haiwezekani alituzunguka kwenye corridor za Serena na kutuacha solemba sisi na UKAWA yetu kisha kuhongwa ubalozi sasa anatoa wapi hizo nguvu hata aibu haoni? Anafikiri tumesahau?
huku ndo tulipoangukia .... sasa kuna kule tulipojikwaa...Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia# [emoji3064]
Sisi tunamuona aliyeupokea ubalozi na dada langu la Kihaya wakaenda Nordic huko.Aliewazunguka ni alie mkaribisha Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea Urais, kwanini mnashindwa kuliona hilo?
Sent from my SM-A135F using JamiiForums mobile app
Wakijaribu kufanya hivyo watampaisha sana kisiasa na pengine kugombea urais atatoa upinzani mkali haswa 2025 kwa CCMKama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.