DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Umeamua kuleta uzushi wako hapa, hata Kidata alivuliwa hadhi ya ubalozi na shujaa kwahiyo kama ulozi wako upo sahihi si jambo la ajabu.

Huyo babu msaliti kwa wenzie hana moral authority ya kuzungumzia chochote maana hana huo usafi.
Ila wewe una moral authority ya kuzungumza chochote!
 
Walifanya unyama wa kibarbaiki huko ngorongoro kuwahamisha wamasai kwenye ardhi ya mababu ili wamrithishe mwana mfalme wa uarabu ambae ni mjomba wa mtawala.
Sasa wanawazia kumdhuru mtu mwingine mzalendo wa nchi ili wakabithi bandari milele kwa huyo mjomba.
Waelewe kuwa urithi haurithishwi mwenye mali awapo hai.
Hivyo wakitaka mjomba arithi wawaue watanzania wote wabakishwe tu watumwa wachache wa kufanya kazi za kitumwa za mwana mfalme( mwarabu).
Yeyote aliye upande wa utetezi wa bandari kitouzwa wana wa nchi tupo nae bega kwa bega na hata kama mwana mfalme akiletwa kwa nguvu hakuna ushirikiano wowote tutakaompa.
Niseme hivi;
Hata Idd Amini akifufuka leo na kusimama upande wetu dhidi ya wanaotuuza tutasimama nae kumuunga mkono.View attachment 2695075View attachment 2695076View attachment 2695077
 
Attachments

  • Screenshot_20220623-080149.jpg
    Screenshot_20220623-080149.jpg
    124.6 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220623-080127.jpg
    Screenshot_20220623-080127.jpg
    99.6 KB · Views: 3
Tatizo ccm waongeaji ni wengi kuhusu wawelezaji waarabu ambao wengi ccm hawana uelewa kuhusu mkataba ndo maana ukiuliza swali kwenye mikutano yao inapigwa na kutupwa nje ya mkutano
 
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.

Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.

Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga Serikali.

Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Wote ni ccm kwa ccm. Sisi maskini hayatuhusu
 
Hili suala la Mkataba wa chief mangungo wa kuuzwa bandari yetu milele litatugawa Taifa Zima pande mbili , wanaokubali na wanaokataa na Kwa vile bandari waarabu wamepewa milele basi Mgogoro huu nao ni WA milele daima dumu! Kamwe watz Hatutokubaliana milele!
umoja wa Taifa la Nyerere kwishney!

Huyo Bw Slaay ana haki kama raia kulalamika maana hakuna mmiliki wa nchi au Mali za nchi!

Ila mi niko upande wa HAPANA! Kama ukiwekwa ukomo wa Mkataba nakuwa NDIYO! Mlio upande wa Ndiyo poleni kwa kuendekeza ujinga na utumwa wa mtu mweusi!
SISI TUNAOTUMIA BANDARI HII MARA KWA MARA HATUFURAHISHWI NA UZEZETA NA UKIRITIMBA ULIOPO HAPO BANDARINI,UNALERETA KWA CONTAINE DU DUBAI,UNASUBIRI PLASIE CLEERIE SIKU 60-70,LOUDGING HOUSE NA PASEE YOTE INAISHIA HUMO,HASARA KUKWA KWA KWELI,KAMA ATAINGIA NA KASI ITAZIDI ITAKUWA BIER,HASARA NI KUBWA SANA!
 
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.

Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.

Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga Serikali.

Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Sasa kumkamata kwa kosa gani
 
Niulizie Kwao je, tuanze pia Kujifunza Kulia kilazima Misibani, kutoa Salamu za Rambirambi na kuandika Salamu za Vifo katika Vitabu Maalum vya Misibani Majumbani?
 
Uzuri mtu yeyote hawezi kuwa balozi milele hivyo sio jambo la kushtua sana. Dr. Slaa hawezi kuanzisha movement asiwe amejipanga. Mtoa mada amka usingizini endelea kutazama tu mchezo huwezi jua huyohuyo Dr. Slaa anaweza kuja kuwa Rais wako. Achana ma uchawa.
 
Wamkamate kwa kosa,Gani mbona wao wanazunguka kutetea huo mkataba mbovu wa bandari kwann na wengine wasiachwe kuonyesha ubovu wake, Kila mtu ashinde mechi zake.
 
hawawezi kufanya ujinga Kama huo, labda wa plan namna nyingine. by the way inshu ya mkataba iko everywhere , kila mwananchi Sasa anajua kinachoendelea ,so kum stress slaa haisaidii kitu,
 
We endelea ku"zuga" tuu, sisi tunakanyaga twende.

Mkapa aliambiwa hivyo hivyo anauza nchi, je ni kweli nchi imeuzwa, Mama aendelee na huu mpango sio lazima sote tukubaliane ila dhamira ya Mama ni nyeupe sana hatuihitaji kuwa kama Masai ng'ombe 5,000 halafu anaishi maisha duni.

Mbona migodi inaendeshwa na wageni na kila wakati tunatunga sheria mpya za madini na wanatekeleza?
Tangu migodi ya madini iendeshwe na wageni umepata nini cha zaidi ya uchawa?
 
Wahafidhina wa CCM wanaelekea kufanikiwa kumtengenezea kitanzi Samia ili ifike mahali mwenyewe ajitoe kwenye mbio za 2025.
 
Back
Top Bottom