Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni formality tu za kisiasa ili waweze kumkamata na kumuweka ndaniHivi,ubalozi ni vazi kwamba ukivuliwa unabaki uchi?Kwani mtu akigoma,kwa hiyari yake,kukuita Mshana ndiyo palepale unakuwa siyo Mshana?[emoji23]
Thubutuuu...[emoji23]Natamani kwa sasa CDF Gen Mkunda naye atoe maoni yake kuhusu bandari. Na kwa usomi wake na uzalendo alionao hayatapishana na Dr Slaa, jee naye watamnyanganya ujenerali wake? Watamvua uCDF? Na mwisho watamkamata na kumtupa Lupango?
Nadhani hapo ndio penyewe! Tunatamani tupashuhudie kwa macho yetu.
Nadhani tupaze sauti tuimbe "njoo upesi, njoo upesi fika utoe neno".
Tuma picha tukuone mremboDomo la kilafi utaliona tu, halijifichi.
Yatakuja ya Kombe?Kifuatacho ITV ni tamthilia ya Passion na bibi kizee mchawi Becky!😂😂😂😂
Na hapo ndipo alipokosea Mkapa. Kugawa madini na migodi kama vile vimemchosha kwa mrahaba wa 3% !!. Makosa kama hayo yakafanywa tena kwenye Gas na mafuta 2015 !!. Na sasa bandari, misitu, mbuga za wanyama nk.We endelea ku"zuga" tuu, sisi tunakanyaga twende.
Mkapa aliambiwa hivyo hivyo anauza nchi, je ni kweli nchi imeuzwa, Mama aendelee na huu mpango sio lazima sote tukubaliane ila dhamira ya Mama ni nyeupe sana hatuihitaji kuwa kama Masai ng'ombe 5,000 halafu anaishi maisha duni.
Mbona migodi inaendeshwa na wageni na kila wakati tunatunga sheria mpya za madini na wanatekeleza?
Kwasasa madini yanachangia kiasi gani kwenye GDP?Na hapo ndipo alipokosea Mkapa. Kugawa madini na migodi kama vile vimemchosha kwa mrahaba wa 3% !!. Makosa kama hayo yakafanywa tena kwenye Gas na mafuta 2015 !!. Na sasa bandari, misitu, mbuga za wanyama nk.
Hii nchi tunao umasikini wa akili. Na wanaotutawala wanahakikisha tuna endelea kuwa masikini wa ubongo.
Asiye na akili humjua mwenzie.Huna akili siyo kosa lako
'Wrong and bad move' ila ni kama hili ni la ukweli.Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari..." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za #kiintelijensia#
Majizi wa bandarini ndio hswatski bandari ibinafisishwe.Tumia akili kitu kisichohamishika atauziwe mgeni?Na huyo mgeni atakuwa hana akili,anunue kisichohamishika kwenye nchi nyingine.Tumia akili,usidanganyike.Wanazuia tsunami kwa mikono watanzania hatutaki bandari kuuzwa kwa bed chew na milele Hapana Hapana
CCM kila uchao ni wizi! Ufisadi! Unyanganyi! Kudhulumu! We are tired CCM, go to hellKama intelligence yao inawaambia wakimkamata Dr Slaa mkutano hautafanyika wanajidanganya na wamechelewa. Jumapili Temeke itaandikwa historia ambayo hawataamini!
Kwa ufupi hawatafanikiwa na hakuna Dr Slaa asichofahamu.
Kosa lake nini kwenye hili la Bandari?Naaam haiwezekani alituzunguka kwenye corridor za Serena na kutuacha solemba sisi na UKAWA yetu kisha kuhongwa ubalozi sasa anatoa wapi hizo nguvu hata aibu haoni? Anafikiri tumesahau?
wanasema hivi utake usitake CCM ni kila kitu nchi hii huwezi kuikwepa, ni kama maji ya kunywa bwa shee yaani you cant survice without - ukitaka mambo yako yaende vizuri basi bakia CCM, ishabikie CCM na ilinde au kama huitaki sawa ila kaa kimya kama unanyolewa, kuchoronga mdomo ni kujitafutia makuu.CCM kila uchao ni wizi! Ufisadi! Unyanganyi! Kudhulumu! We are tired CCM, go to hell
Angalia hoja zake kuhusu Hilo libandari usimuangalie kama slaa msaliti...UTAMUELEWA TUNaaam haiwezekani alituzunguka kwenye corridor za Serena na kutuacha solemba sisi na UKAWA yetu kisha kuhongwa ubalozi sasa anatoa wapi hizo nguvu hata aibu haoni? Anafikiri tumesahau?
nani amekwambia kuzungumzia mkataba mbovu wa bandari inahitaji uwe na moral authority? na ni kwa nini issue ya bandari inaihusisha na kuondoka kwake chadema?Umeamua kuleta uzushi wako hapa, hata Kidata alivuliwa hadhi ya ubalozi na shujaa kwahiyo kama ulozi wako upo sahihi si jambo la ajabu.
Huyo babu msaliti kwa wenzie hana moral authority ya kuzungumzia chochote maana hana huo usafi.
Mnaoutetea huu mkataba mna moral authority?Umeamua kuleta uzushi wako hapa, hata Kidata alivuliwa hadhi ya ubalozi na shujaa kwahiyo kama ulozi wako upo sahihi si jambo la ajabu.
Huyo babu msaliti kwa wenzie hana moral authority ya kuzungumzia chochote maana hana huo usafi.