DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Salute Mkuu
 
Salute Mkuu
Tunashukuru vyanzo vilivyopo nao hai wakuu, kututonya haya .

Mengine kama Mimi huwa nashindwa kuyaandika maana huwa ni mazito kweli.

Mfano saivi tunajua kilichofanya wamteua Dotto Biteko kuwa Naibu PM.

Ila kwa uzito wake , haviwezi kukaa hapa.

Sasa Dr Slaa, awe makini zaidi. Maana ipo mipango zaidi mibaya na wabaya wake hawajaridhiki. Uzuri ni mzee makini sana.
 
Eti Slaa nae ana hadhi ya ubalozi ni vichekesho tu.. Hiyo ilikua ni kiinua mgongo cha usaliti wa chama chake. Kila mahali akiegemea anafukzwa kuanzia laana za kanisa lake mpaka kuumbuliwa ubalozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…