DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

DOKEZO Balozi Dkt. Wilbroad Slaa kuvuliwa ubalozi na kukamatwa!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kama msomaji wa JF, kuwa wa kwanza kuipata hii habari.

Ndio vyanzo vya ndani kabisa vinavyotanabaisha.

Ilikuwa akamatwe jumanne, lakini wakaona kwanza wapime upepo kuona baadhi ya matukio waliyopanga kama yatapunguza nguvu ya mkutano wao, sasa hii habari ya mkutano wao tena kupangwa tarehe 23/07 badala ya 22/07 ndio kabisa imewavuruga Serikali.

Kuna pdf inaandaliwa vizuri tu, apokonywe ubalozi na baadhi ya taratibu, lakini wanaona hiyo haitoshi, wanataka kumkamata hasa siku ya mkutano katika kujaribu kuzima huu moto wa kuonesha ubovu wa mkataba wa bandari." Wakiona upepo mbaya, mkutano nao unaweza kuzuiwa kwa sababu za kiintelijensia.
Salute Mkuu
 
Salute Mkuu
Tunashukuru vyanzo vilivyopo nao hai wakuu, kututonya haya .

Mengine kama Mimi huwa nashindwa kuyaandika maana huwa ni mazito kweli.

Mfano saivi tunajua kilichofanya wamteua Dotto Biteko kuwa Naibu PM.

Ila kwa uzito wake , haviwezi kukaa hapa.

Sasa Dr Slaa, awe makini zaidi. Maana ipo mipango zaidi mibaya na wabaya wake hawajaridhiki. Uzuri ni mzee makini sana.
 
Eti Slaa nae ana hadhi ya ubalozi ni vichekesho tu.. Hiyo ilikua ni kiinua mgongo cha usaliti wa chama chake. Kila mahali akiegemea anafukzwa kuanzia laana za kanisa lake mpaka kuumbuliwa ubalozi.
 
Back
Top Bottom