Balozi Dola soul atoa nyimbo mpya

Balozi Dola soul atoa nyimbo mpya

umekimbilia mbali umesahau ulipotoka..ulidai dola soul anamjua nani!?..ndomana nakuelewesha kwamba sugu kavuma kabla ya redio za fm kuwapo..hajavuma mwaka 2000+ kama unavojua wewe..ana albam inaitwa ' king kong'
Sizungumzii kujilkana na watu wachache wa vijiweni nazungumzia kujulikani globally(TZ) sio kimtaa,Nenda Rudi hapa tunazungumzia wimbo uliomtambulisha dola soul ni kwenye chati hizo unazozitaja wewe labda alikuwa anakusikilizisha ghetto kwenu.
 
Dollar soul aka balozi dash jamaa ni mkali , sema haichukulii game serious
 
hayupo kwenye muziki tu bali pia anafanya kazi huko marekani sema vile muziki ni kipaji hawezi acha
Dollar soul aka balozi dash jamaa ni mkali , sema haichukulii game serious
 
Back
Top Bottom