King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Sizungumzii kujilkana na watu wachache wa vijiweni nazungumzia kujulikani globally(TZ) sio kimtaa,Nenda Rudi hapa tunazungumzia wimbo uliomtambulisha dola soul ni kwenye chati hizo unazozitaja wewe labda alikuwa anakusikilizisha ghetto kwenu.umekimbilia mbali umesahau ulipotoka..ulidai dola soul anamjua nani!?..ndomana nakuelewesha kwamba sugu kavuma kabla ya redio za fm kuwapo..hajavuma mwaka 2000+ kama unavojua wewe..ana albam inaitwa ' king kong'