Hahaha… Mazafakas watasaga lami mpaka wataamua kulowea Vatican City!Mimi nishawahi kufanya kazi pale kama hakuna jambo la maana atawakaribisha na mtaishia kupiga picha tu.
Warudi hata mara elfu waone kama watapata wanachokitaka, amesema Balozi W. Slaa.
Idiot!!! Hana Diplomatic Status Kwa hiyo you better remove the word baloziMimi nishawahi kufanya kazi pale kama hakuna jambo la maana atawakaribisha na mtaishia kupiga picha tu.
Warudi hata mara elfu waone kama watapata wanachokitaka, amesema Balozi W. Slaa.
Kwani walisema wanataka nini? Dr Slaa ameishi na kusoma pale for 9 solid yearsMimi nishawahi kufanya kazi pale kama hakuna jambo la maana atawakaribisha na mtaishia kupiga picha tu.
Warudi hata mara elfu waone kama watapata wanachokitaka, amesema Balozi W. Slaa.
Wewe utakuwa muislamu, chawa na mzanzibari. Na ulishiriki mauaji Oktoba 29.Idiot!!! Hana Diplomatic Status Kwa hiyo you better remove the word balozi
Sawa kijana wa TECWewe utakuwa muislamu, chawa na mzanzibari. Na ulishiriki mauaji Oktoba 29.
Ni wapumbavu tu wasiojua kuwa hawaiwezi TEC, na wanaichukulia kisiasa.Sawa kijana wa TEC
Huyu mwanamke ana asili ya uovu moyoni mwake. Fikiria, baada ya TEC kutoa tamko kuhusu uporwaji wa bandari yetu, alituma watu wake kwa maaskofu kadhaa akieleza kuwa wafanye kila njia wamwondoe Fr Kitima kwenye nafasi kama wanataka kupata ushirikiano kutoka Serikali yake. Maaskofu walichukia na kudharau maelekezo yake, wakati wa uchaguzi, walimpitisha Fr Kitima kuendelea na kipindi kingine. Walipoona mipango yao ya kumwondoa Fr. Kitima imeshindwa, wakaanza kutengeneza mipango ya kumwua, wakafanya shambulio, Mungu akamlinda mtumishi wake, na muuaji amebakia katika aibu, na kwa mapenzi ya Mungu, muuaji anaweza kutangulia, na Kitima akashuhudia maziko ya muuaji. Kwa sasa anapitia aibu kuu kwa Ulimwengu mzima, akitambulika kama mwanamke mchinjaji watu.Uhasama wa Samia kwa TEC usiyo jambo la siri; kwa sababu kuna matamshi aliyoyatoa mwenyewe hadharani.
njama ya kumuua padre Kitima inajulikana kuwa mpango wa serikali yake kumuua Kitima.
Mapadre wametekwa chini ya mipango ya serikali yake.
Hakuna hata siku moja aliyowahi kutamka na kulaumu matendo haya dhidi ya wakatoliki hapa nchini.
Ajabu sasa ni kuwa akili yake inamuelekeza kuwa huko Vatican matendo haya ovu hawayajui, na hawajui yanakoanzia.
Akili za huyu mwanamke zinafanya kazi tofauti kabisa na za binaadam wengine.
Asante, mkuu 'Hamatan', nimepata taarifa mpya ambayo nilikuwa sina kwa mchango wako huu.Huyu mwanamke ana asili ya uovu moyoni mwake. Fikiria, baada ya TEC kutoa tamko kuhusu uporwaji wa bandari yetu, alituma watu wake kwa maaskofu kadhaa akieleza kuwa wafanye kila njia wamwondoe Fr Kitima kwenye nafasi kama wanataka kupata ushirikiano kutoka Serikali yake. Maaskofu walichukia na kudharau maelekezo yake, wakati wa uchaguzi, walimpitisha Fr Kitima kuendelea na kipindi kingine. Walipoona mipango yao ya kumwondoa Fr. Kitima imeshindwa, wakaanza kutengeneza mipango ya kumwua, wakafanya shambulio, Mungu akamlinda mtumishi wake, na muuaji amebakia katika aibu, na kwa mapenzi ya Mungu, muuaji anaweza kutangulia, na Kitima akashuhudia maziko ya muuaji. Kwa sasa anapitia aibu kuu kwa Ulimwengu mzima, akitambulika kama mwanamke mchinjaji watu.
Interesting observation.Ni wapumbavu tu wasiojua kuwa hawaiwezi TEC, na wanaichukulia kisiasa.
Mpumbavu huwa akiambiwa ukweli wake, anafikiri ametukanwa.