The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya!
Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike au kuwajibishwa?
Hili swali ni kwa serikali inayotunafiki kwa kujifanya inatujali wakati inatuteka, kutupoteza, na kutuua.