Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, Serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya

Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, Serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya

Unadhani wanajali?
Kuna wengi hupotezwa kimya kimya
 
Kwenye maisha yangu najiuliza hivi unawezaje kuondoa uhai wa mtu ukaishi na amani, Mama Samai anajisikiaje kuona mwananchi wake amepotea au kuuwawa..haya madaraka ya nini ilinhali sitaweza kuwa na amani moyoni
 
Back
Top Bottom