The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Alishamvua hadhi ya ubalozi amtafute wa kazi ganiBalozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya!
Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike au kuwajibishwa?
Hili swali ni kwa serikali inayotunafiki kwa kujifanya inatujali wakati inatuteka, kutupoteza, na kutuua.
Balozi Humphrey Polepole alitekwa na kupotezwa. Ajabu, serikali ya aliyekuwa kamteua iko kimya!
Nini kifanyike ukweli na haki vite vitendeke? Tunangojwa amaduriwe Rais ndipo wahusika wawajibike au kuwajibishwa?
Hili swali ni kwa serikali inayotunafiki kwa kujifanya inatujali wakati inatuteka, kutupoteza, na kutuua.
Ni kweli. Alivuliwa ubalozi ila si utanzania. Kwani, kazi ya serikali ni nini kwa watu wake inaowatoza kodi?Alishamvua hadhi ya ubalozi amtafute wa kazi gani
Hapana. Ni zaidi ya fala mwanangu.Ndio ujue Samia ni fala tu.
Ni kweli ila si chawa wala Kumxx kama wanaomuita hivyo.Polepole ni mkundugu.
Wanasherehekea utadhani kifo chake kitapunguza shida na ujazo wa mavi uiomo vichwani mwao.Mashehe wanasemaje?
Kwani alitekwa akiwa Cuba?Kwani ni kweli alirudi nchini?
Usifukuru kumlinganisha Mkapa intellectual na kihiyo. Sijui hata kama anaweza kuandika insha ya maneno 1000.Tusubiri kitabu cha Samia kujutia haya anayoyafanya kama alivyofanya Mkapa, ili watanzania wajinga wasamehe kwamba yameshapita
Yote inawezekana kwa watu wetuHivi wakati wanavakia nyumba ya Polepole Ina kaana majirani hawakusikia kelele hata kidogo?Au walilipwa na kuambiwa wabaki kimya mpaka zoezi likamilike?
Ni kweli hata Samia atakufa tena ingekuwa hata kesho ingekuwa safi kabisaKifo ni chawote.... mama polepole nae atakufa tu, alishahudhuria misiba mingi na ni ishara kuwa ni safari ya wote.