HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,321 Reaction score 103,590 Jan 7, 2026 #21 Unadhani wanajali? Kuna wengi hupotezwa kimya kimya
nyiokunda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2015 Posts 2,191 Reaction score 1,353 Jan 7, 2026 #22 Erythrocyte said: Mashehe wanasemaje? Click to expand... Hawana umuhimu kwy nchi hii
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 54,814 Reaction score 133,717 Jan 7, 2026 #23 The Father of All said: Usifukuru kumlinganisha Mkapa intellectual na kihiyo. Sijui hata kama anaweza kuandika insha ya maneno 1000. Click to expand... Nmezungumzia kilichoandikwa kwenye kitabu chake
The Father of All said: Usifukuru kumlinganisha Mkapa intellectual na kihiyo. Sijui hata kama anaweza kuandika insha ya maneno 1000. Click to expand... Nmezungumzia kilichoandikwa kwenye kitabu chake
Kurunzi Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 10,198 Reaction score 11,630 Jan 7, 2026 #24 Kwenye maisha yangu najiuliza hivi unawezaje kuondoa uhai wa mtu ukaishi na amani, Mama Samai anajisikiaje kuona mwananchi wake amepotea au kuuwawa..haya madaraka ya nini ilinhali sitaweza kuwa na amani moyoni
Kwenye maisha yangu najiuliza hivi unawezaje kuondoa uhai wa mtu ukaishi na amani, Mama Samai anajisikiaje kuona mwananchi wake amepotea au kuuwawa..haya madaraka ya nini ilinhali sitaweza kuwa na amani moyoni