Balozi Humphrey Polepole ateuliwe Waziri wa Habari

Mudawote

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2013
Posts
10,771
Reaction score
14,129
Great thinkers kama tunavyofahamu tukio la msiba mkubwa wa taifa wa Mh. Membe bado kama taifa tunaomboleza.

Ninashauri Rais Dkt Samia akitaka mambo yake ya 2025 yaende amteue Mh. Balozi Polepole kwa nafasi wa Waziri wa Habari. Werevu na hekima ya Polepole ni muhimu ktk kipindi hiki ambapo taifa linapitia kipindi kigumu cha watu kushangilia misiba ya viongozi wa kitaifa.
 
Wanatamani wampeleke hata sayari ya mars maana anawasumbua balaa.

Walidhani akienda cuba hatakuja tz lakini mwamba hakomi
 
Nimeshtuka nikakimbilia kufungua, kumbe kwenye e pake nilisoma a.
 
Kwani Membe ndiye alikuwa waziri wa Habari ?

Nyie watu nyie.
Hahahaha Mamndenyi aliwahi sema ‘bora upoteze hirizi lakini siyo kufiwa na mganga’ na yeye ushahidi unaonesha huyo ndiye alikuwa mganga wake
 
V80
 
😆😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…