Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
- Thread starter
- #21
Balozi yupo poa sana, hajawahi kubadili misimamo yakeAsante Balozi. This's why nampenda mtu mwenye msimamo hata kama yuko wrong
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Balozi yupo poa sana, hajawahi kubadili misimamo yakeAsante Balozi. This's why nampenda mtu mwenye msimamo hata kama yuko wrong
Katiba; Katiba; Katiba! No more no less!Nadhani hii kitu siyo TCRA peke yake, taasisi nyingi TZ zinacheza ngoma ya Rais aliyepo madarakani
yaaahDont give us half cooked dishes hahaha, Balozi yupo vizuri
Kwa sababu iliyopo inawapa nafasi ya kushibisha matumbo yao bila bughudha wakilindwa na vyombo vya dola! Unadhani hata Chadema wakibahatika kukamata dola kwa Katiba hii wataibadili? Thubutu! Wenye akili wataelewa...Ila mkiambiwa Katiba Mpya mnaanza kurusha mateke..
..Ila mkiambiwa Katiba Mpya mnaanza kurusha mateke..
Hawaeleweki kabisa, Ndugulile alikuwa anaelekea kuwanyoosha wale jamaa, Mother naye sijui kwa nini alimtoa jamaa na kukaweka kale kadada hakana uwezoMkuu TCRA ni kitengo cha kile kitengo.
Mbaya zaidi, Kagasheki hivi hajui kuwa kitengo cha TCRA ni fimbo ya serikali/CCM kuwanyamazisha wakorofi?
Huwa sikupendi, lkn owanhilo tupo pamoja by a million percentNadhani hii kitu siyo TCRA peke yake, taasisi nyingi TZ zinacheza ngoma ya Rais aliyepo madarakani
Chief why kutopendana tena? Tunaweza kutofautiana kimitazamo, lakini sidhani hilo linaweza kuleta chuki, BTW kuna siku ulitoa stories za miaka ya 80 humu nikakupa na Shikamoo kabisaHuwa sikupendi, lkn owanhilo tupo pamoja by a million percent
Yupo huyu, Msekwa, Msuya, Siku zote wanaongea yale ya kweli bila uoga wowote or kutaka kuridhisha makundiHapa Kagasheki amemaliza kila kitu.
CCM inahitaji sana kuwa na makada wa namna hii, ambao wana misimamo ya kweli na haki. Wanaweza kutofautiana na wewe kiitikadi na kimtazamo lakini bado wakabakia kusimamia ukweli na haki.
"Mbona" zinaweza kumgusa kila mtu, nadhani hiyo paragraph ya mwisho hujaipenda MkuuIla hii nchi ukiwa benchi akili zinarudi. Huu u genius enzi ni waziri mbona hakuwa nao?
Watabadilika je! Au siku moja wataamka automatically wameshabadilika? Hivi hii mitanzania iko jeKama Katiba ya sasa tu inakanyagwa, nini kitazuia hiyo katiba mpya kukanyagwa? Ishu ni watu kama watu kubadilika!
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?
Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.
Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.

Namuuga mkono balozi KSK !
Ni Ni kweli , kweli kabisa hoja za 80s. Siyo chuki kama chuki ila wewe unaunga mkono udhalimu wa Jiwe na samia kwa Mbowe na siasa zao in general. Ni hilo tu na wala si chuki kama chuki...... au labda nachanganya mamboChief why kutopendana tena? Tunaweza kutofautiana kimitazamo, lakini sidhani hilo linaweza kuleta chuki, BTW kuna siku ulitoa stories za miaka ya 80 humu nikakupa na Shikamoo kabisa