Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jus like "chuma" regime!!Nadhani hii kitu siyo TCRA peke yake, taasisi nyingi TZ zinacheza ngoma ya Rais aliyepo madarakani
Balanced observation but with lots of fragility he has been kozikozii, Tareirota kwako Balozi, Thank you for daring.Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?
Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.
Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;

Ipo ipo tu haifanyi kazi iliokusudiwa ni nyundo binafsi ya kuponda ponda wabaya wa mwanasiasa.Kutokuwepo kwa hii Taasisi nadhani kungekuwa na Tija kuliko uwepo wake...
Yap ni kupoteza hela z walipa Kodi tuKutokuwepo kwa hii Taasisi nadhani kungekuwa na Tija kuliko uwepo wake...
TCRA waliufyata kwa Musiba na wanatumikishwa kama watumikishwavyo mamluki wengineAnaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?
Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.
Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
Tatizo la msingi siyo katiba, ni watu.Kama Katiba ya sasa tu inakanyagwa, nini kitazuia hiyo katiba mpya kukanyagwa? Ishu ni watu kama watu kubadilika!
Ndio maana katiba mpya ni muhimu kuondoa haya mauzauzaNadhani hii kitu siyo TCRA peke yake, taasisi nyingi TZ zinacheza ngoma ya Rais aliyepo madarakani
Mkuu Usha maliza ile historia yako kule ?TCRA hawana welidi
hana impact yoyote. Wamemwacha tuKwa jinsi walivyomlinda yule MWANAHARAKATI HURU [ Musiba] wa Magufuli akitukana watu hovyo kwa kutumia media hiyo hiyo anayotumia Polepole,TCRA hawana moral authority ya kumfutia leseni Polepole !! Hii ni wazi kuwa serikali inatumiwa na ccm kutaka kumthibiti Polepole ; wameisha ona kuwa ccm kumuadhibu kwa hayo wanayoyaita makosa ya uchochezi hayana ushahidi na yanaweza kukiweka chama tawala mahala pabaya. Polepole kama tujuavyo sio mwanachama wa kawaida bali alikuwa kiongozi aliyekijua chama kwa undani akiwa katibu mwenezi hivyo hatua zozote zitakazochukuliwa dhidi yake ni lazima zitafakaliwe kwa kina!!
hana impact yoyote. Wamemwacha tu
..Ila mkiambiwa Katiba Mpya mnaanza kurusha mateke..