Balozi Kagasheki: TCRA Mnachekesha

Mkuu TCRA ni kitengo cha kile kitengo.
Mbaya zaidi, Kagasheki hivi hajui kuwa kitengo cha TCRA ni fimbo ya serikali/CCM kuwanyamazisha wakorofi?
Hawaeleweki kabisa, Ndugulile alikuwa anaelekea kuwanyoosha wale jamaa, Mother naye sijui kwa nini alimtoa jamaa na kukaweka kale kadada hakana uwezo
 
Inashangaza sana...

TCRA ndie mtunga kanuni,

TCRA ndie anayeshitaki,

TCRA ndie mwamuzi wa mashitaka....

Inakuwaje chombo kimoja kupewa nguvu nyingi namna hii... lakini Polepole anavuna alichopanda. Simuonei huruma hata kidogo.
 
Huwa sikupendi, lkn owanhilo tupo pamoja by a million percent
Chief why kutopendana tena? Tunaweza kutofautiana kimitazamo, lakini sidhani hilo linaweza kuleta chuki, BTW kuna siku ulitoa stories za miaka ya 80 humu nikakupa na Shikamoo kabisa
 
Hapa Kagasheki amemaliza kila kitu.
CCM inahitaji sana kuwa na makada wa namna hii, ambao wana misimamo ya kweli na haki. Wanaweza kutofautiana na wewe kiitikadi na kimtazamo lakini bado wakabakia kusimamia ukweli na haki.
Yupo huyu, Msekwa, Msuya, Siku zote wanaongea yale ya kweli bila uoga wowote or kutaka kuridhisha makundi
 
Ila hii nchi ukiwa benchi akili zinarudi. Huu u genius enzi ni waziri mbona hakuwa nao?
"Mbona" zinaweza kumgusa kila mtu, nadhani hiyo paragraph ya mwisho hujaipenda Mkuu
 
Hivi hiyo katiba inayotakiwa mnazani mtu anaweza kujiwekea panga shingoni? Wakati anajua madudu yake ?[emoji849][emoji849] Lazima lishikwe na mtu mwingine .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Katiba ya sasa tu inakanyagwa, nini kitazuia hiyo katiba mpya kukanyagwa? Ishu ni watu kama watu kubadilika!
Watabadilika je! Au siku moja wataamka automatically wameshabadilika? Hivi hii mitanzania iko je
 
Namuuga mkono balozi KSK !
 
Chief why kutopendana tena? Tunaweza kutofautiana kimitazamo, lakini sidhani hilo linaweza kuleta chuki, BTW kuna siku ulitoa stories za miaka ya 80 humu nikakupa na Shikamoo kabisa
Ni Ni kweli , kweli kabisa hoja za 80s. Siyo chuki kama chuki ila wewe unaunga mkono udhalimu wa Jiwe na samia kwa Mbowe na siasa zao in general. Ni hilo tu na wala si chuki kama chuki...... au labda nachanganya mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…