Press yetu tupo, tunasubiria kuitwa ndipo tuende. Press ukiitwa mahali kuchukua habari, ndio pia unawezeshwa na tule tu little brown nanilius, lakini ukienda mwenyewe kwa kujipeleka kutafuta habari, unakuwa hupewi !, ndio maana kwenye media zetu hatuna stories za investigative Journalism, kwasababu nani atakupa tule tu little brown nanilius ?.
P
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?
Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.
Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
Dadeq ugali Wa moto mboga ya moto,anyway mbwa humnyenyekea anayempa chakulaAnaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?
Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.
Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
Tatizo lako unafafananisha katiba ya chama na katiba ya nchi. Tofautisha katiba ya TLP na katiba ya nchi.Katiba ni muhimu ila kupata kiongozi alieimara ktk usimamizi wa hio katiba ni muhimu zaidi ya sana
Chadema kwenye katiba yao walikuwa na ukomo wa uongozi wa Mwenyekiti ila kutokana na kulewa madaraka kwa Mwenykt aliyepo basi ikafanyika figisu kipengele hicho cha ukomo kikaondolewa,,,
Tangu mwaka 2004 ( takribani miaka 17) mpaka leo hii bado Mbowe ni Mwenyekiti ilhali CCM ndani ya miaka hiyo ishapata wenyeviti WANNE tofauti
Sasa ni namna ya kushangaza kidogo, Mbowe ámbae haamini wenzake ktk kuwaachia madaraka ya uenyekiti chamani ndie anataka Watanzania wamuamini ktk kuichukua nchi mikononi mwa CCM
Balozi Balozi!! Deeper in you I know oh yes I know, We have been in a situation where our state has been captured since 2015. They decide what to do to who, who to accuse and who to convict. The rule of law applies to the captives only.Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?
Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.
Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
TCRA ni bendera fuata upepo, pale hakuna wele3di wala nini bali ni kusikiliza wanasiasa wanataka nini!TCRA wenyewe ni kama wanasiasa tu wenye kilemba cha profession tofauti, siku zote huendana na midundo ya mtawala aliyeko madarakani ili kumlinda na sio profession yao.
Paskali, nafahamu kuwa unaijua 'Tz Press', nje, ndani.Press yetu tupo, tunasubiria kuitwa ndipo tuende. Press ukiitwa mahali kuchukua habari, ndio pia unawezeshwa na tule tu little brown nanilius, lakini ukienda mwenyewe kwa kujipeleka kutafuta habari, unakuwa hupewi !, ndio maana kwenye media zetu hatuna stories za investigative Journalism, kwasababu nani atakupa tule tu little brown nanilius ?.
P
Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?
Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.
Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
TCRA ni affiliate wa chama tawala kama ilivyo UWT, policcm, gazeti la uhuru n.k wao wanafuata upepo na sii maadili ya kazi yao.Anaandika Balozi Khamis Sued Kagasheki kupitia ukurasa wake wa Twitter na ninamnukuu;
Humphrey siyo rafiki yangu. Pia siyo adui yangu. Sikuwahi kuketi popote na yeye kwa maongezi. Mara moja tu niliongea nae kwa simu kuhusu jambo lililo mhusu mwanachama mwenzetu na Boss wake (Bashiru) alikuwa kalivalia njuga. Inasemekana zipo tuhuma zinazo mkabili na Chama chetu hakijatoa hukumu dhidi yake mpaka kisikie utetezi wake. Kingeweza kumchukulia hatua bila hata kufuata taratibu kama tulivyo ona huko nyuma. Najiuliza, TCRA kabla ya hatua zao dhidi ya Polepole, walimpa fursa ya kujieleza? Alisikilizwa? Alisema nini?
Nimeusikiliza mlolongo wa tuhuma dhidi yake lakini nikazidi kujiuliza ‘na ikawaje akapewa leseni?’ Vitu vingine TCRA ilipaswa ivijue kabla ya kutoa leseni. Pamoja na yote “Darasa” lake halikuwa hewani siku moja au mbili kwa uchache wa siku, kweli TCRA walikuwa bado tu hawajaona kwamba leseni yao haikuwa katika mikono salama? Niwambie tu, TCRA mnachekesha.
Huu uadilifu mnaupata wapi. Awamu ya tano mmetoa leseni kwa so-called wanaharakati huru wakitukana, kudhalilisha Wazee na Wastaafu wa Taifa letu. Mpo kimya. Maongezi ya Watanzania yamedukuliwa na kuwekwa hadharani.Mpo kimya. Leo mnasimamia maadili. Really? Mimi simtetei Humphrey kama Humphrey. Kuna maswala ya msingi ambayo ni zaidi ya mtu. TCRA if you want to be correct so be it. We aren’t interested in half baked, half cooked dishes.
[emoji28][emoji28][emoji28]Hukumu zimeridhiwa kuzingatia mwelekeo wa ule mhimili uliojichimbia zaidi.
Ndiyo maana hoja za serikali hazitakaa zitingishwe!
Profesa Jumaa unasomeka vyema, live bila chenga.