Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo"

Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo"

Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya"

Chanzo: Jambo TV
Bottomline Dr Hussein Mwinyi ni mfanyabiashara. Na hapendi kupingwa kwa maamuzi yake. Ali Karume amempa za uso, ila hana cha kumfanya na hatathubutu.

Kwa hesabu kama ni hizo alizozisema za kukodisha visiwa, nashawishika kusema UCHUMI WA BULUU ni biashara kichaa
 
Huyu mchumi is getting too personal...

Kodi ya nchi inalipwa na mtu mmoja?

Mwinyi is smart, kama hicho kisiwa hakizalishi, na Zanzibar ni tourism dependant economy, what's the problem na kukikodisha...

Yeye Ally anajiita mchumi lakini naona ana deep hate....
Hicho kisiwa kikijengwa hela nyingi zitazunguka Zanzibar, hiyo sovereignty ya nchi inaondolewa kwa kufanya biashara?

Huyo mwekezaj halip kodi ya kufanya biashara?

Hataajiri wazanzibari?....
 
Balozi karume aka Hammada ,pombe imemuharibu ubongo,apuuzwe tu

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakikisha unapoandika vitu una hakika navyo, sio sahihi kuwa Balozi Karume ndio Hammada!!! Hoja ya balozi ni kuhusu sera ya kukodisha visiwa huko Zenj, nilitegemea mtu mwenye akili achangie na kuonesha kama hoja yake ina mapungufu au la na sio kuleta umbea wa kutukana watu.
Balozi Karume knows what he is talking about, na ni mtu jasiri kama marehemu baba yake.
 
Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya"

Chanzo: Jambo TV
Hawa wanyasa walioloea visiwani wana visirani sana; baada ya kuachwa kwenye baraza la mawaziri ndivyo wanavyomlipa kauli za kijinga kiwango hicho. Si mtoto si baba wote wana kauli zenye ukakasi sana
 
Mwinyi kaingia madarakani kakuta wenzake wamemaliza madili yote na yeye kaamua kupiga dili la kukodisha visiwa, hii ndio Afrika japo kuna mabedui wakipataga madaraka wao hawaishii kuiba tu bali ufikia hata kuuwa na wananchi pia halafu wanajiita wazalendo na wafuasi wao viazi mbatata wanawasifia na kuwaabudu.
 
Huwezi kukodisha sehemu ya nchi kisa tu haijajengwa au haizalishi , haya ndio yale yale ya bandari ya Bagamoyo na Wachina na Oman. Mikataba ya Kimangungo

Back
Top Bottom