Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 920
- 994
Duh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
siyo baba ni kakaUnajua Kwa Nini babaake anaitwa papa pangu?Maana yake Kila eneo ni lake(pake)
Ninyi vitoto vya shule ndio mjifunze jinsi ya kutumia "h" panapotakiwa na siyo mnatumia "u" mahali pa "h" .Unajua matumizi ya jf? Naona unaongea mambo ambayo hujui
Nimemqoute mtu ambae kazungumzia ishu ya ulevi na sio ishu ya main topic
Bfr ujajiunga jf ulitakiwa kusoma matumizi na umri wa kujiunga
Ninyi vitoto vya shule ndio mjifunze jinsi ya kutumia "h" panapotakiwa na siyo mnatumia "u" mahali pa "h" .
Hujajiunga na siyo ujajiunga! Umejisikiae mkongwe kusahihishwa na mtoto?
Huu nao ni utumwa Tena mbaya kuliko ule wa kutumikishwa na nyapara! Mkataa asili ni mtumwa wa fikra, na ndicho ulichonacho ndani ya fuvu lako! Mkubwa unakwama wapi katika kujenga hoja?Kiswahili sio lugha yangu
Una hoja nyingine?
Aisei! Kwanza, lugha aliyotumia akimu adress Rais haina staha. Rais hata akiwa mwanao wa kumzaa au mdogoako tumbo moja kuna namna ya kuwasiliana nae. Pili, hakutoa solution (tusikodishe visiwa tufanye nini?). Naamini anao uwezo kuomba window ya kuonana na Mhe. Rais na kumpa ushauri kwa maandishi.Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya"
Chanzo: Jambo TV
Watajuana na Uchumi wao wa Buluu..Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya"
Chanzo: Jambo TV
Huu nao ni utumwa Tena mbaya kuliko ule wa kutumikishwa na nyapara! Mkataa asili ni mtumwa wa fikra, na ndicho ulichonacho ndani ya fuvu lako! Mkubwa unakwama wapi katika kujenga hoja?
Nialike kwenye sherehe za pasaka!Sasa kama kiswahili sio lugha yangu ni lazima kulazimisha? Kwani kila mtu anatakiwa kujua kizungu au kiswahili?
Umeona makosa kwenye uandishi wangu nimekupa sababu na hutaki kuamini sasa nakusaidiaje?
Hii nchi haina wenyewe yaan wote ni kama wahamiajiBora ya huko Zanzibar wanakosoana
Bara ni kusifia sifia kwa kwenda mbele
Aiseee
Sawa na huyo balozi alikuwa India?siyo baba ni kaka
huyo simfahamuSawa na huyo balozi alikuwa India?