mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Linalima nini??
Kule kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Linalima nini??
Balozi karume aka Hammada ,pombe imemuharibu ubongo,apuuzwe tu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona huyu! Jibuni hoja zake, pombe zake mwachieni!Balozi karume aka Hammada ,pombe imemuharibu ubongo,apuuzwe tu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, sawa.Atampaje za uso mtoto wa kaka yake? Alikua anamfunda!
Ulimuongezea tot ngapi? Umbea wa kitoto kabisa huu!Kuna siku nilimkuta pale ccm hall Zanzibar anapiga k vant zake
Hivi kwanini maamuzi makubwa ya nchi yanafanyika bila kujadiliana? Imagine wadau muhimu kama huyu anakuwa na nyongo kiasi hicho? Ina maana serikali inajifanyia maamuzi kibabe tu kisa wapo madarakani? Sioni kama ni namna nzuri ya kuongoza nchi. Kabla ya kufanya maamuzi makubwa katika nchi wadau muhimu washirikishwe. Sekta binafsikama taasisi, wafanyabiashara wakubwa, viongozi waastaafu, watendaji wakuu wastaafu, wawakilishi wa wananchi na wengine wanaoguswa na hilo.Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya"
Chanzo: Jambo TV
Unalialia nini mke wa balozi tulia sindano ipenyeHakikisha unapoandika vitu una hakika navyo, sio sahihi kuwa Balozi Karume ndio Hammada!!! Hoja ya balozi ni kuhusu sera ya kukodisha visiwa huko Zenj, nilitegemea mtu mwenye akili achangie na kuonesha kama hoja yake ina mapungufu au la na sio kuleta umbea wa kutukana watu.
Balozi Karume knows what he is talking about, na ni mtu jasiri kama marehemu baba yake.
Hahaha mama mchungaji leo vepe na kufufuka kwa yesuKule kwako
Ni chapombe balaaKuna siku nilimkuta pale ccm hall Zanzibar anapiga k vant zake
Kipindi na yeye anautaka uraisHuyu balozi Karume ndiye aliwahi kumpa za uso Fatma Karume wakati fulani?
Ulimuongezea tot ngapi? Umbea wa kitoto kabisa huu!
Hawa wanyasa walioloea visiwani wana visirani sana; baada ya kuachwa kwenye baraza la mawaziri ndivyo wanavyomlipa kauli za kijinga kiwango hicho. Si mtoto si baba wote wana kauli zenye ukakasi sana
Mimi sio siazi yako, ninachoweza kukwambia ni kuwa wewe ulizaliwa na wazazi wako ambao hawakupiga BISMILLAH wakati wanajamiiana kukupata wewe! Ndio maana una laana.
Hapo kama siyo Vodka basi ni Ze Laga inaongea.Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya"
Chanzo: Jambo TV
Hoja ni kuwa, uwepo wake hapo unahusianaje na hoja au mtazamo wake? Au ulitaka akanywee sehemu gani hizo kvant?Alikuwa anakunywa bar na sehemu ya wazi sasa umbea gani
Hoja ni kuwa, uwepo wake hapo unahusianaje na hoja au mtazamo wake? Au ulitaka akanywee sehemu gani hizo kvant?
Jamaa ana chuki kwamba awamu hii hajapewa uwaziri wala uenyekiti wa bodi.Huyu mchumi is getting too personal...
Kodi ya nchi inalipwa na mtu mmoja?
Mwinyi is smart, kama hicho kisiwa hakizalishi, na Zanzibar ni tourism dependant economy, what's the problem na kukikodisha...
Yeye Ally anajiita mchumi lakini naona ana deep hate....
Hicho kisiwa kikijengwa hela nyingi zitazunguka Zanzibar, hiyo sovereignty ya nchi inaondolewa kwa kufanya biashara?
Huyo mwekezaj halip kodi ya kufanya biashara?
Hataajiri wazanzibari?....