Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo"

Balozi Karume amkosoa vikali Rais wa Zanzibar kwa sera ya kukodisha kisiwa, amuita ni "Bwana Mdogo", asema "Ni maamuzi mabovu kabisa haya"


Chanzo: Jambo TV
Hivi kwanini maamuzi makubwa ya nchi yanafanyika bila kujadiliana? Imagine wadau muhimu kama huyu anakuwa na nyongo kiasi hicho? Ina maana serikali inajifanyia maamuzi kibabe tu kisa wapo madarakani? Sioni kama ni namna nzuri ya kuongoza nchi. Kabla ya kufanya maamuzi makubwa katika nchi wadau muhimu washirikishwe. Sekta binafsikama taasisi, wafanyabiashara wakubwa, viongozi waastaafu, watendaji wakuu wastaafu, wawakilishi wa wananchi na wengine wanaoguswa na hilo.
Tuache kuburuza nchi kama nyumba zetu.
Leo wapo, kesho hawapo. Maswala ya do and undo and Redo, ziishe kabisa nchi hii.
 
Huyu hatakiwi kuongea anani chefua Moyo,ananitibua mavuzi,ana ikera nafsi yangu.ananikera sana.
Unajua Kwa Nini babaake anaitwa papa pangu?Maana yake Kila eneo ni lake(pake)
Pale jengo la Livingston amekodisha shilingi ngapi?
Kasha botique,pale z hotel?Dadake anahotel kiwengwa nadhan shooting star.Wana maeneo mengi sana wameyamiliki.pale muuyuni ufukwe wa kwenda mnemba dadake anamiliki eneo kubwa Kuna mzungu alilihitaji Hilo eneo nikiwa dalali nikamtafuta mmiliki kumbe ni mtoto wa karume alikuwa balizi India.Am not sure ila nadhani ni Fatuma karume au dadake au mdogo wake au dadake.Mzungu aliambiwa Pana uzwa dola milioni 3.5 mzungu akashindwa
Moonsoon hotel ni ya karume,na sehemu nyingi tu.Hana uchungu akae Kwa kutulia.
Mlevi mkubwa.
 
Unalialia nini mke wa balozi tulia sindano ipenye

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wanyasa walioloea visiwani wana visirani sana; baada ya kuachwa kwenye baraza la mawaziri ndivyo wanavyomlipa kauli za kijinga kiwango hicho. Si mtoto si baba wote wana kauli zenye ukakasi sana

Kauli zao zina ukakasi kwa vile hawaafiki ujinga unaofanywa wa kuuza visiwa?
Unalialia nini mke wa balozi tulia sindano ipenye

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sio siazi yako, ninachoweza kukwambia ni kuwa wewe ulizaliwa na wazazi wako ambao hawakupiga BISMILLAH wakati wanajamiiana kukupata wewe! Ndio maana una laana.
 
Alikuwa anakunywa bar na sehemu ya wazi sasa umbea gani
Hoja ni kuwa, uwepo wake hapo unahusianaje na hoja au mtazamo wake? Au ulitaka akanywee sehemu gani hizo kvant?
 
Hoja ni kuwa, uwepo wake hapo unahusianaje na hoja au mtazamo wake? Au ulitaka akanywee sehemu gani hizo kvant?

Unajua matumizi ya jf? Naona unaongea mambo ambayo hujui

Nimemqoute mtu ambae kazungumzia ishu ya ulevi na sio ishu ya main topic

Bfr ujajiunga jf ulitakiwa kusoma matumizi na umri wa kujiunga
 
Jamaa ana chuki kwamba awamu hii hajapewa uwaziri wala uenyekiti wa bodi.
Hii familia wanafikiri kwa vile baba yao alikuwa rais wa kwanza so kila rais anaekuja basi lazima awape uwaziri au ubalozi, mara hii si Sa100 wala Mwinyi aliemchagua. Hasira za mkizi...furaha kwa mvuvi. Hawana hati miliki ya nchi hii
 
Alipofyonza pale ni tatizo kidogo. Lakini hoja yake inafaa isikilizwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…