Balozi Karume: ‘CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar’

Balozi Karume: ‘CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar’

Huyo ni muaji na kujikomba kote kwa ccm anaogopa kuliko kutolewa roho ,na siku akikosana na ccm basi nina uhakika siku inayofuata ataamkia locapu , mkisikia kisa chake basi mtaona gafai kuwepo hai ,ngoja watu wa kutetea haki za binadamu watakapoamua kumtolea uvivu,
 
Hivi huyu alikuwa balozi kutokana na taaluma ya international relationship au ni kubebana kulekule? Hivi alikuwa anaiwakiliaha Tanzania au aliteuliwa jopo la mataahira kuyawakirisha nje huko? kumbe mdo maana watanzania tunadharaulika sana yoote hiyo ni kutokana na kuwa na mabalozi mataahila kama huyu Ally Karume. Kwa ujinga huu tutaanza kuchokozana na tupigane ndipo heshima iwepo. Na kama wanajiona kuwa na jeshi basi siku hiyo hill jrshi litakuwa na kazo tatu ya wao kujilinda,kuwalinda taahira kama Balozi Ally na kuilinda familia zao. Kwa kuwa vita ikikolea tutatafutana na hizo familia ili nazo ziteketezwe zote vita ni mbinu na hiyo ndo mbinu ya ushindi kwa wazalendo na bahati nzuri tunafahamiana kuwa ktk familia Fulanikijakijana au mtu Fulani ni askali
 
Watu kama huyu Ali Karume ndiyo huishia kuiingiza nchi kwenye machafuko.

FaizaFoxy;
Njoo huku, kuna ntu kakuibia avatar yako! Haiwezekani umkosoe mwana CCM kwa vyovyote vile. La! Na ukiona hivyo, basi ufalme tiyari umefitinika.
Nilidhani ungetoa wazo kuwa, ili kuulinda Muungano huu mtukufu, na Tanganyika nako, mgombea Urais awe CCM tu kwani hawa wengineo woote, WACHUMIA TUMBO TUUUUU.
Baloz K cause he is a ccm member is always right. Amechukua mda mwingi kuuelezea upatikanaji wa Mapinduzi yale. Walipindua ili wasitawaliwe tena na mtu ambaye hakuwa wao. Naona ccm kumeshaingia maruweruwe tiyari
 
Eti nataka th we kama wairani .Iran I ni jamhuri ya kiislamu .Hutu kwa Maelezo yake amazing kuuthibitishia ulimwengu kuwa maalim serif alishinda uraisi ila waliufuta ili wandelee kutawala kimagendo .Dania haitakubali kuna kuna mgando ya utawala
 
Kauli ya huyu mwenzetu ni ya kichochezi na ya kilevi.Hakustahili hata kuwa balozi.
 
Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.

CCM Oyeee...!.

Pasco

Exactly
 
Uais au Urais?
 
Yuko sahihi kabisa na ndilo lililopo znz kwa sasa. Vyama vyote vinaruhusiwa kutoa Mgombea Urais ila chama kimoja tu ndio kinaruhusiwa kutoa Rais
Umesema ukweli mtupu, na hiyo ndiyo tafsiri sahihi ya kauli ya wanaccm inayosema Zanzibar kamwe hatokuja kutolewa kwa vijikaratasi vya kupigia kura!

Sasa swali la msingi la kuwauliza hao wahafidhina wa CCM ni kuwa kama huo ndiyo msimamo rasmi wa watawala wa CCM, kuna haja gani basi ya kupoteza pesa za walipa kodi kwa kuchapisha karatasi za kupigia kura zenye wagombea pamoja na wa vyama vya upinzani na kuwatesa watu kusimama kwenye foleni za kupiga kura iwapo wao watawala wa CCM wanajua wazi kuwa nchi hiyo ya Zenji haiwezi kutolewa kwa vijikaratasi vya kupigia kura?!
 
Hata huku bara tuwaachie tu watawale,maana kuongoza wameshindwa
 
Wangefuata mfumo kama wa uingereza , ufalme hauna uchaguzi ndo washika nchi ,uchaguzi ufanyike kwa wabunge na waziri mkuu
 
hivi kipimo cha DNA ni sh. ngapi?..........nataka kuwapima Karume mkubwa na Mdogo
 
Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.

CCM Oyeee...!.

Pasco
Shekhe ndo yamekua hayo!umeamua kula kwa mikono yote? hatari lakini salama.
 
Ukikuta mtu anawaza kama huyu mzee wangu basi tena. kule tu kufikiri kuwa C. C. M. italinda mapinduzi mpaka mwisho wa dunia ujue anaefikiri hivyo anashida. Huko pemba hakuna Mungu mbona kunakitu kinataka kutokea. poleni sana.
 
Yametimia ya shamba la wanyama- animals look from Napoleon to Pilkington, from man to pig and from pig back to
man, they find that they are unable to tell the difference.
 
eti zanzibar ni chi ya kiislamu inayofuata haki.wapiii? safari hii waislamu watauana wenyewe zanzibar kisa madaraka.

.
 
Back
Top Bottom