Balozi Karume: ‘CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar’

Balozi Karume: ‘CCM pekee iwe inasimamisha mgombea urais Zanzibar’

Wangefuata mfumo kama wa uingereza , ufalme hauna uchaguzi ndo washika nchi ,uchaguzi ufanyike kwa wabunge na waziri mkuu

Mkuu ndicho alichomanisha Balozi karume, sema kuna kautofauti kidogo. Karume anachosema vyama vyote vigombanie nafasi zote za uongozi isipokuwa Urais, huo waachiwe CCM kwa kuwa kuruhusu chama kingine kuongoza ZNZ ni nawa na kuyasaliti mapinduzi matukufu.
 
Maana ya Mapinduzi ni nini kama inawaletea wananchi Shida? Sijaona akizungumzia upande wa Unguja...Kweli magaidi wanayosababu ya kupambana na watu kama Karume Ally
 
.."....kuna hoja za kujibu bandiko lisilofurahisha sbb ya ukakasi wa kweli ya "historia ya siasa machachari, zilizojaa ajenda za siri, ktk upande wa pili wa jamhuri ya muungano?"
 
Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.

CCM Oyeee...!.

Pasco

Kama huyo Karume yuko sahihi,kwanini serikali itumie pesa nyingi kurudia Uchaguzi??Siingesema tu hayo maelezo ya huyo Karume halafu wakamweka huyo RAIS shein wamtakaye na maisha yakaendelea.

Kwanini upoteze pesa za walipa kodi na gharama za kuweka jeshi Zanzibar wakati hutaki wapemba wawe viongozi??

Ni bora kufanya uteuzi ndani ya CCM na kugawa wbaunge tu hakuna haja ya uchaguzi.

Ni aibu kwa mtu aliyekaa nje kama balozi anayejua haki na misingi ya demokrasia akaleta hoja kama hiyo,lazima akili zake ziwe zimeingia maji.
 
CCM tuipende lakini isitufanye tukawa wajinga wajinga kwa kutoa kauli ambazo zinatudhalilisha mbele ya watu wengine.
 
Anayepuuzia mawazo ya Ali Karume hajui siasa za Zanzibar wala JMT.Kwanza nashukuru Ali amekuwa muwazi.Si Zanzibar wala Tanganyika kinaporuhusiwa chama kingine kutoa Rais.Wanaojiita wanasiasa wanaopoteza muda wao eti kugombea Urais zanzibar au Tanganyika wanajisumbua.Ni heri wafanye shughuli zingine.Kiukweli hawajui ukweli wa siasa za Tanzania.Hongera Ali kwa kuwa muwazi.
Yuko sahihi kabisa na ndilo lililopo znz kwa sasa. Vyama vyote vinaruhusiwa kutoa Mgombea Urais ila chama kimoja tu ndio kinaruhusiwa kutoa Rais
 
Huyu Balozi kama ni watu mapopoma basi ni huyu Karume tena hafai kabisa katika zama hizi za sasa na aibu iwe juu yake milele na milele.
 
Ali karume amesema ukweli, saif sharif anataka kurudisha warabu.
 
Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.

CCM Oyeee...!.

Pasco
Nashauri CCM tuu ndio pekee iwe inatoa ma meya.
Pasco
 
Kati ya wa 4...hawa Balozi Karume, Balozi Iddy, Jecha na........!! Nani ni yule mmoja kati ya watu 4? Tuna shida sana!
 
Back
Top Bottom