Watu kama huyu Ali Karume ndiyo huishia kuiingiza nchi kwenye machafuko.
Mwenyezi Mungu ameanza kukufungua, inshaallah uendelee hivyohivyo kujua haki na batwili
M
Mwenyezi Mungu ameanza kukufungua, inshaallah uendelee hivyohivyo kujua haki na batwili
Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.
CCM Oyeee...!.
Pasco
Uais au Urais?Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.
CCM Oyeee...!.
Pasco
Umesema ukweli mtupu, na hiyo ndiyo tafsiri sahihi ya kauli ya wanaccm inayosema Zanzibar kamwe hatokuja kutolewa kwa vijikaratasi vya kupigia kura!Yuko sahihi kabisa na ndilo lililopo znz kwa sasa. Vyama vyote vinaruhusiwa kutoa Mgombea Urais ila chama kimoja tu ndio kinaruhusiwa kutoa Rais
Watu kama huyu Ali Karume ndiyo huishia kuiingiza nchi kwenye machafuko.
Sijaamini alichoandika!M
Mwenyezi Mungu ameanza kukufungua, inshaallah uendelee hivyohivyo kujua haki na batwili
Shekhe ndo yamekua hayo!umeamua kula kwa mikono yote? hatari lakini salama.Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.
CCM Oyeee...!.
Pasco
Kamera yako iko vizuri,Ninapata picha kwa nini machafuko hayaishi duniani, kwa sababu kuna watu kama Balozi Ali Karume.