Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,868
- Thread starter
-
- #41
Wangefuata mfumo kama wa uingereza , ufalme hauna uchaguzi ndo washika nchi ,uchaguzi ufanyike kwa wabunge na waziri mkuu
Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.
CCM Oyeee...!.
Pasco
Yuko sahihi kabisa na ndilo lililopo znz kwa sasa. Vyama vyote vinaruhusiwa kutoa Mgombea Urais ila chama kimoja tu ndio kinaruhusiwa kutoa Rais
Nasikia huyu Balozi na kaka yake paka na panya
Nashauri CCM tuu ndio pekee iwe inatoa ma meya.Kiukweli mtu yoyote mwenye akili timamu ukizisoma hoja za Balozi Karume, utakubaliana na mimi kuhusu utimamu wa akili zake, hivyo kufuatia utimamu huo, na mimi Pasco wa jf, kwa kauli moja, naunga mkono hoja, kuwa CCM ndio pekee iruhusiwe kusimamisha mgombea uais wa Zanzibar, tena sio tuu CCM ndio pekee wagombee urais Zanzibar, bali CCM ndio pekee wagombee urais wa JMT, kwa sababu CCM ndicho chama pekee chenye hati miliki ya urais wa JMT na Zanzibar kiliopewa na Mungu!, hii ni kufuatia long euksipiriensi ya uzoefu wa muda mrefu kwenye urais!.
CCM Oyeee...!.
Pasco
Hujamuelewa.Unaumwa wewe !
Vipi bibie.Watu kama huyu Ali Karume ndiyo huishia kuiingiza nchi kwenye machafuko.