Balozi Kilima: Asilimia 40 ya mabinti wa kazi wanaofanya kazi Oman wanatoka Kondoa

Balozi Kilima: Asilimia 40 ya mabinti wa kazi wanaofanya kazi Oman wanatoka Kondoa

wacha waende wakawaloge waarabu hukohuko. lazima hapo wanawashika masikio waarabu hawakohoi, manake hatujawahi hata kusikia malalamiko ya watanzania kunyanyaswa uarabuni, machache sana kama yapo, ila kwa wakenya huko ndio wananyweshwa hadi mkojo.

shida ingine kwa warangi ni ukoloni wakiarabu, anakuwa anajisikia vizuri mno kuwa karibu na mwarabu, kumtumikia mwarabu, anajiona na yeye mwarabu, sijui mwarabu ana nini and so what? mwarabu kwao ni malaika fulani hivi yaani.
 
Warangi Ni Kama mabaki ya waarabu.. na kujifanya wanaujua Sana uislamu.. Sasa sipati picha Kama wakikutana na mwarabu Kama Kuna kitu huwa wanampinga., Hofu yangu... ......Ni mtandao pendwa 0713 kama huwa unabaki Salama..
 
Wanaacha almasi dhahabu, tanzanite na bandari wakinufaika nazo wageni wao wanapelekwa utumwani huko arabuni kwa msaada wa kiongozi wao mkuu wa nchi.
 
Nchi inajisifia kuzalisha wadada wa kazi kwenda nje ya nchi🤔

Tanzania tunasafari ndefu san
Philippines inaongoza duniani ku export wasichana wa kazi

Japani kwa mfano asilimia kubwa ya wajapan huoa housegirl wa kifilipino sababu wanawake wengi wa kijapan huwa hawataki kuolewa wala kuzaa wana nyodo kama nini
 
Ile jamii ya maeneo hayo ni kama machotara ya kiarabu ,naona ndio sababu kuu kukubalika huko
 
Back
Top Bottom