M24 Headquarters-Kigali
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 8,199
- 8,186
hongera tumepata mkuu mpya wa chuo
Baada ya kifo cha ghafla cha Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mamlaka Kuu ya Uteuzi imemteua Balozi Mwanazuoni wa Siku nyingi Mhe. Kuhanga kuwa Mkuu Mpya wa CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
Kama nakumbuka sawasawa kuna Kuhanga aliwahi kuwa Makamu Mkuu wa hicho chuo. Jee ndio huyohuyo?

Naomba kuelimishwa. Mwanazuoni ni mtu gani?
Aliyebobea katika taaluma ya ufundishaji katika vyuo vikuu.
yule alikua luhanga mkuu.
yule alikua luhanga mkuu.
Ninavyoelewa mimi wakuu wa vyuo vikuu vyote Tanzania ni Presidential appointees, mamalaka gani tena hiyo inayoteua siku hizi ofauti na mkuu wa kaya? Naomba kujuzwa tafadhali, na kama ndivyo basi pia nampa hongera zake nyingi!
Hata Kuhanga aliwahi Kuwa makamu mkuu wa chuo kabla ya Luhanga.
yule alikua luhanga mkuu.