Balozi kuhanga mkuu mpya udsm

Balozi kuhanga mkuu mpya udsm

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Baada ya kifo cha ghafla cha Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mamlaka Kuu ya Uteuzi imemteua Balozi Mwanazuoni wa Siku nyingi Mhe. Kuhanga kuwa Mkuu Mpya wa CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.
 
Huyu Hata kwenye mahafari ya mwaka Jana ndiye aliyetunuku awards Kwa wahitimu. Ila kiumri Ni Mzee sana.
 
This is the guy.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    206.9 KB · Views: 405
Baada ya kifo cha ghafla cha Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mamlaka Kuu ya Uteuzi imemteua Balozi Mwanazuoni wa Siku nyingi Mhe. Kuhanga kuwa Mkuu Mpya wa CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.

Ninavyoelewa mimi wakuu wa vyuo vikuu vyote Tanzania ni Presidential appointees, mamalaka gani tena hiyo inayoteua siku hizi ofauti na mkuu wa kaya? Naomba kujuzwa tafadhali, na kama ndivyo basi pia nampa hongera zake nyingi!
 
Kama nakumbuka sawasawa kuna Kuhanga aliwahi kuwa Makamu Mkuu wa hicho chuo. Jee ndio huyohuyo?
 
Baada ya kifo cha ghafla cha Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mamlaka Kuu ya Uteuzi imemteua Balozi Mwanazuoni wa Siku nyingi Mhe. Kuhanga kuwa Mkuu Mpya wa CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM.

Naomba kuelimishwa. Mwanazuoni ni mtu gani?
 
Aliyebobea katika taaluma ya ufundishaji katika vyuo vikuu.

Nilifikiri ni hivyo lakini nilikuwa sina uhakika. Mr. Nicholas Kuhanga hajawahi kufundisha Chuo Kikuu. Yeye ni mwanasiasa na alikuwa ni mwanasiasa wa mwisho kushika cheo cha Vice Chancellor UDSM.
 
He/she knows nothing about this comrade Makanyaga thats why he/she cant respond your question , By the way Chancellors are apointed by the President.

Ninavyoelewa mimi wakuu wa vyuo vikuu vyote Tanzania ni Presidential appointees, mamalaka gani tena hiyo inayoteua siku hizi ofauti na mkuu wa kaya? Naomba kujuzwa tafadhali, na kama ndivyo basi pia nampa hongera zake nyingi!
 
Last edited by a moderator:
Polen sana. huyu mzee alikuwa mwenyekiti wa baraza la chuo cha Sokoine na alipostaafu kamwachia Luhanjo yule katibu kiongozi. cha kushangaza sana huyu jamaa ni mzee sanaa, sijui kwa nini asiachwe akapumzike? Yaani kwenye watanzania wote, hakuna anayefaa zaidi ya huyu mzee? Ndio maana hatuendelei maana mzee kama huyu hana dreams au fantasies tena, yupo tuuuu!

Siasa bhana, sijui kwa nini wanasiasa hawana akili, hata ya kuona vitu vya wazi kama hivi
 
nafikiri huyo ndo aliyetutunuku toleo la mwisho la wahitimu udsm. tumekuwa na bahati tumekaribishwa na balozi kazaura thn tumetunukiwa na balozi luhanga.
 
Back
Top Bottom