Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Mmeshikwa pabaya sana mwaka huuwaitakie na Marekani heri pia
Kila wakati wa uchaguzi tumekuwa tukitakiwa kila la heri na kukumbushwa kuheshimu demokrasia. Kuna tatizo safari hii?Hivi mbona wanaamini Sana katika kujua chema kwetu? Hawajatoa tamko kuhusu USA?
Kila wakati wa uchaguzi tumekuwa tukitakiwa kila la heri na kukumbushwa kuheshimu demokrasia. Kuna tatizo safari hii?
Hata ss tukipenda tutawatakia kila la heri na hao marekani wakiwemo. Ni ustaarabu tu wa kawaida kutakiana uchaguzi mwema na kukumbushana kutunza amani.Si wawatakie na ndugu zao Marekani...ambako Hadi vituo vya police vinachomwa moto tujue wanajali kwelikweli?
Sisi ndio wenye ulafi na madaraka na punda hua hendi bila magongoHivi mbona wanaamini Sana katika kujua chema kwetu? Hawajatoa tamko kuhusu USA?
Unadhani wazungu hawana uroho wa madaraka?Sisi ndio wenye ulafi na madaraka na punda hua hendi bila magongo
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app