johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Vikwazo vya nini bwashee?!Tusubiri vikwazo tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vikwazo vya nini bwashee?!Tusubiri vikwazo tu!
Hivi Waziri Mahiga bado ni Waziri wa Mambo ya Nje?
Juzi nilimuona akitolea ufafanuzi mambo ya China nikashangaa, Waziri wa Katiba na Sheria anafanya kazi ya Waziri Kabudi nikajiuliza au Magufuli alikurupa kumuondoa jamaa?.
Mi naomba Mungu afanye wepesi wanaofanya hivyo awashughulikie haraka iwezekanavyo, ulimbukeni wa madaraka kwa waafrika unasumbua sana.Kama tunaanza kujitoa ama kutaka baadhi ya vifungu vinavyolinda haki za binadamu viondolewe kwenye sheria za Mahakama ya Haki za Binadamu ya Africa yenye makao makuu yake Arusha, basi tumeanza kuelekea pabaya sana. Rwanda walifanya hivyo kwasababu moja tu; dikteta wa nchi hiyo anataka asibanwe na vifungu fulanifulani vya sheria. Hata sisi tumefika huko? Tuombe Mungu atusaidie.
Mtu ana miaka 75+ unasema amezeeka ghafla!!?