Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kila la kheri Afande Gaguti 🐒Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amempangia kituo cha Balozi Meja Jenerali Marco Elisha Gaguti.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Moses Kusiluka, Meja Jenerali Gaguti ameteuliwa kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Uganda.