D
Dudubaya ni shujaa wa Tanzania wewe juha, maana kwa kupaza kwake sauti, serikali yenu haramu imeanza mchakato wa kupata MRI bora zaidi.Dudubaya kwa muda huu akitaka kuwa mjumbe wa kamati kuu CHADEMA anakuwa bila shida yoyote. Kwa sasa ni shujaa huko CHADEMA.