Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251
Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

MRI inatumia sumaku kuzunguka mwili wa binadamu bila mashine yenyewe kuzungusha kitu chochote kile kwa sababu sumaku inakua kama ni nguvu maalum ambayo inatengenezwa na mashine na hii sumaku ni kubwa kweli kweli ndio maana mgonjwa anapokuja kwenye MRI lazima anaambiwa atoe vyuma vyote alivyonavyo anabadilishwa nguo anavishwa nguo maalum ndio anaingizwa sasa kwa sababu ya aina ya utengenezaji wa mashine ndio inakuwa na masharti ya ziada.

Mashine tulizonazo hapa sisi zinatoa kelele kubwa sana ambayo ukimuingiza tu mgonjwa ukamuacha vilevile hofu itamfanya mgonjwa asitulie na kutulia ni kazi ya muhimu sana katika hiki kipimo, Mashine ya MRI ina sauti kubwa kuanzia DESIBELI 100..." amesema Mpoki Ulisubisya -Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
-----

Pia soma:
Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

​
 
Dr. Mwaisa amesema ukweli, Dudubaya pia amesema ukweli. Mashine yetu ni ya kizamani inapiga makelele na inatumia muda mrefu kufanya vipimo.

Badala ya kununua "mavi eite" serikali ingekuwa serious kwenye kujali maisha ya mtanzania wangewekeza kwenye vifaa tiba vya kisasa pamoja na wataalamu wa kuvitumia na matengenezo.
 
Dr. Mwaisa amesema ukweli, Dudubaya pia amesema ukweli. Mwashine yetu ni ya kizamani inapiga makelele na inatumia muda mrefu kufanya vipimo.

Badala ya kununua "mavi eite" serikali ingekuwa serious kwenye kujali maisha ya mtanzania wangewekeza kwenye vifaa tiba vya kisasa pamoja na wataalamu wa kuvitumia na matengenezo.
Serikali yetu inazingua sana aisee,yaani hyo gharama ni kiasi gani serikali isiweze kumudu kununua mashine ya kisasa?
 
Hii ndio impact ya msanii wa Hip Hop. Unachana mistari mpaka mamlaka zinakaa vikao kujadili. Hii ni press release ya 3 hawajatoa majibu kabisa
Unajua watu wa kanda ya ziwa wamenyooka sana. Dudu zuri kawapiga za uso MOI..press release itawafunga maana ni ushahidi watu wanaweza kwenda mahakamani.
 
Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

MRI inatumia sumaku kuzunguka mwili wa binadamu bila mashine yenyewe kuzungusha kitu chochote kile kwa sababu sumaku inakua kama ni nguvu maalum ambayo inatengenezwa na mashine na hii sumaku ni kubwa kweli kweli ndio maana mgonjwa anapokuja kwenye MRI lazima anaambiwa atoe vyuma vyote alivyonavyo anabadilishwa nguo anavishwa nguo maalum ndio anaingizwa sasa kwa sababu ya aina ya utengenezaji wa mashine ndio inakuwa na masharti ya ziada.

Mashine tulizonazo hapa sisi zinatoa kelele kubwa sana ambayo ukimuingiza tu mgonjwa ukamuacha vilevile hofu itamfanya mgonjwa asitulie na kutulia ni kazi ya muhimu sana katika hiki kipimo, Mashine ya MRI ina sauti kubwa kuanzia DESIBELI 100..." amesema Mpoki Ulisubisya -Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
-----

Pia soma: Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

​
Dudu anawapa za uso wasomi, hii ni balaa
 
Serikali yetu inazingua sana aisee,yaani hyo gharama ni kiasi gani serikali isiweze kumudu kununua mashine ya kisasa?
Inaweza kununua gari 183 za halmashauri zote nchini, kwa kila gari milioni 200 piga mara idadi. Lkn mashine moja ni kipengele

magari ya mawaziri na manaibu, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya wote. bilions of money unaacha kununua mashine ya vipimo
 
Serikali yetu inazingua sana aisee,yaani hyo gharama ni kiasi gani serikali isiweze kumudu kununua mashine ya kisasa?
Kwa bei ya Landcruiser mbili zile wanazopenda kuweka matako yao unapata mashine yenye uwezo wa 1.5Tesla.

Ukitaka ya 3Tesla (nzuri kabisa) kutoka kampuni kama Siemens basi ni kama Landcruiser tano tu.

Lakini ndio hivyo tena, wana CCM matako yao yana allergy na magari ya bei nafuu, madaktari wao wamewashauri waweke makalio yao kwenye hayo mashangingi.

Umaskini wetu ni wa kujitakia kwa kuruhusu wapumbavu kututawala.
 
Alichokisema dudubaya ni kweli na alichosema Dr Ulisubisya ni kweli pia. Huenda sisi tunatumia MRI ambazo hazina noise-reduction sequence.

Huko mbelez wanawwza kuwa more advanced, kwa kutumia 1.5 Tesla MRI tofauti na nchi zetu ambazo bado tunatumia models za nyuma kidogo.

Ila wengi waliofanya vipimo kwa kutumia MRI watakiri kuwa lazima wave noise cancellation headphones tofauti na wanaofanya vipimo kwa kutumia CT Scan.
 
Kwa bei ya Landcruiser mbili zile wanazopenda kuweka matako yao unapata mashine yenye uwezo wa 1.5Tesla.

Ukitaka ya 3Tesla (nzuri kabisa) kutoka kampuni kama Siemens basi ni kama Landcruiser tano tu.

Lakini ndio hivyo tena, wana CCM matako yao yana allergy na magari ya bei nafuu, madaktari wao wamewashauri waweke makalio yao kwenye hayo mashangi.

Umaskini wetu ni wa kujitakia kwa kuruhusu wapumbavu kututawala.
Inasikitisha sana mkuu,yaani hosp kubwa kama muhimbili,serikali inashindwa kuwekeza japo nguvu hapo inunue mashine ya kisasa japo moja kwa nchi nzima tu kweli? CCM inaumiza mnoo wananchi
 
Ingekuwa kwa iwezo wangu, viongozi wote wakar ofisi za kawaida sana, mtaani waishi na raia kikawaida sio kujificha huko mbweni, masaki na msasani.

tuwe na viongozi tunakwenda soko la ilala, ngaramtoni, himo, nyegezi sio kujificha kwenye malls

tukar wote foleni za kumuona Dr sio kubaguana. tufike huko jamanj
 
Back
Top Bottom