ManchoG
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 3,828
- 5,728
Bilioni ni pesa ndefu kwa mtu mmojammoja1.5 au 3 Tesla MRI machine inaweza kufika TZS. 8 billion, uache kazi ufanye kazi. Hizo ndio zina decibels za kawaida kwa mtu kuhimili.
Ila lipohusu Taifa hasa Afya Iyo pesa ni upuuzi tu
Nb: ni hospitali ya Taifa Namaanisha zinakoishia rufaa zote za afya nchini.!
Hii ni laana