Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

Alichokisema dudubaya ni kweli na alichosema Dr Ulisubisya ni kweli pia. Huenda sisi tunatumia MRI ambazo hazina noise-reduction sequence.

Huko mbelez wanawwza kuwa more advanced, kwa kutumia 1.5 Tesla MRI tofauti na nchi zetu ambazo bado tunatumia models za nyuma kidogo.

Ila wengi waliofanya vipimo kwa kutumia MRI watakiri kuwa lazima wave noise cancellation headphones tofauti na wanaofanya vipimo kwa kutumia CT Scan.
Kwamba mpaka mbele mkuu?? Unataka kuniambia hyo mashine ya kisasa ni bei gani? Kiasi kwamba sisi nchi za Africa serikali isiweze kununua?? Au ni vipaumbele tu kwa kuwa wao wanatibiwa nje za nchi?
 
Back
Top Bottom