Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

Naomba kuuliza,hivi ukienda kufanya vipimo vya MRI kama pale HI TECH upanga au besta diagnostic centre
Mashine zao nazo zinapiga kelele

Ova
Huko BESTA na HI-TECH wanakwenda wale wanaotupeleka sisi kule kwenye kelele kama machine ya kusaga ya dizeli.
 
Hii ndio impact ya msanii wa Hip Hop. Unachana mistari mpaka mamlaka zinakaa vikao kujadili. Hii ni press release ya 3 hawajatoa majibu kabisa
Siku zote mimi naamini Wanamuziki wa Hip hop wana akili nyingi kuliko Waimba nyimbo za kubana pua. Hip hop inataka uumize kichwa, na ufikiri deeply. Na mara nyingi nyimbo za hip hop hugusa hali halisi ya jamii tofauti na upuuzi wa Bongo fleva, singeli na ujinga mwingine ambako huko utasikia mapenzi tu mwanzo mwisho.

Kama huamini hilo, angalia ni Kundi lipo lina Wanamuziki waliosoma hadi kupata Bachelor degrees, Masters na PhD; Waimba Hip hop au Bongofleva (kama watatuliwa marinda akina Mondi)?
 
Naomba kuuliza,hivi ukienda kufanya vipimo vya MRI kama pale HI TECH upanga au besta diagnostic centre
Mashine zao nazo zinapiga kelele

Ova
Sijawahi kwenda huko HI TECH mkuu, huenda wao wakawa na machine za kisasa zaidi.

Unaambiwa huko MNH vifaa vingi no either mitumba au refurbished.
 
Tumemjengea sanamu dudubaya
Wanamuogopa

1773395625395.png
 
Kama Taifa tuweke kipaumbale Afya tokea uhuru ingebidi tuwe na MRI kila hospital ya mkoa (Referral) hizo za mtumba zibaki wilayani
 
Mtaalamu amekiri kwamba zipo MRI ambazo hazitoi sauti kabisa,ni za kisasa zaidi..kwamba kama taifa tumeshindwa kuzinunua hizo mashine za kisasa?
Mimi pia nimewaza hivi kwanini na sisi tusipate mashine ya kisasa..

Ukiwa na unethical medical practice Ipo ivii sometimes unaweza UKAWA CHOMWA WATER FOR INJECTION bila dawa mtu anakunja pesa kibindonii

Nimemkumbuka headmaster wa A_Level alisema iviii MAILA aki mtaja jamaa form six wa mbele yetu kwamba ndie ALIE ona NZI mkubwa kama kidole CHOONI alafu MAILA Huyo huyo ameshindwa kujenga hoja kwenye NECTA maana alipata SUFURI..

NB. Serikali nyingi kwenye third world countries hazipendagi kukosolewa hazipendagi kuambiwa ukweriiii sema kwenye hili DUDUBAYA amesaidia MASHINE MPYA KUPATIKANA.
 
Kama Taifa tuweke kipaumbale Afya tokea uhuru ingebidi tuwe na MRI kila hospital ya mkoa (Referral) hizo za mtumba zibaki wilayani
Askofu josephat GWAJIMA aliwai kunukuliwa akisema hiki ambacho unakisema wewe muda huu.
 
Kama Taifa tuweke kipaumbale Afya tokea uhuru ingebidi tuwe na MRI kila hospital ya mkoa (Referral) hizo za mtumba zibaki wilayani
Kilichotokea kongwa unakumbuka,mtu Anatolia hapo mpk dom km 70
Wakati mwingine unaweza ukadhulumu na ukajidhulumu mwenyewe pia

Ova
 
Mimi pia nimewaza hivi kwanini na sisi tusipate mashine ya kisasa..

Ukiwa na unethical medical practice Ipo ivii sometimes unaweza UKAWA CHOMWA WATER FOR INJECTION bila dawa mtu anakunja pesa kibindonii

Nimemkumbuka headmaster wa A_Level alisema iviii MAILA aki mtaja jamaa form six wa mbele yetu kwamba ndie ALIE ona NZI mkubwa kama kidole alafu MAILA Huyo huyo ameshindwa kujenga hoja kwenye NECTA maana alipata SUFURI..

NB. Serikali nyingi kwenye third world countries hazipendagi kukosolewa hazipendagi kuambiwa ukweriiii sema kwenye hili DUDUBAYA amesaidia MASHINE MPYA KUPATIKANA
Dudubaya kaongea kitu ambacho hamna aliye wahi kukiweka wazi,
 
Mimi hata wanaoipinga serikali naona ni kuwa wapo nnje ya ulaji tu wakipata nafasi hakuna kitu
Africa connection wakipata kelele na malengo yote kimya wanaiba na kuwaandalia connection watoto wao bc ila kama hapo kwenye mfumo kelele nyingi ingia kimya dadek bara la Giza ili
 
Africa connection wakipata kelele na malengo yote kimya wanaiba na kuwaandalia connection watoto wao bc ila kama hapo kwenye mfumo kelele nyingi ingia kimya dadek bara la Giza ili
Kibongo bongo anachokisema Tundu lissu tu ndio nitakiamini wengine njaa tu
 
Kibongo bongo anachokisema Tundu lissu tu ndio nitakiamini wengine njaa tu
Wew muulize mtu yeyote ukipata nafasi utafanya nn Cha kwanza atakuambia kuhusu familia yake isiteseke ndo wengine wafwate mkuu
 
Back
Top Bottom