Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI

Dr. Mwaisa amesema ukweli, Dudubaya pia amesema ukweli. Mwashine yetu ni ya kizamani inapiga makelele na inatumia muda mrefu kufanya vipimo.

Badala ya kununua "mavi eite" serikali ingekuwa serious kwenye kujali maisha ya mtanzania wangewekeza kwenye vifaa tiba vya kisasa pamoja na wataalamu wa kuvitumia na matengenezo.
Wewe kweli ni Mzalendo Uchwara. Yaani hutaki kina Makonda na Abdul watembelee magari ya kifahari? Huna uzalendo kabisa. Uzalendo ni kupenda viongozi wako waishi kwa ufahari na wananchi wateseke.
 
Wew muulize mtu yeyote ukipata nafasi utafanya nn Cha kwanza atakuambia kuhusu familia yake isiteseke ndo wengine wafwate mkuu
Kwani huwezi kujali familia yako na usifanye ufisadi? Hivi mtu kama Bashite anaweza ku-justify magari ya kifahari anayotembelea kwa kusema ni kujali familia?
 
Dudubaya ana point, mboma MRI ya aghakhan yaani kamziki kwa mbaliii afu wala huvai hayo ma DJ Spika. ha ha ha
 
Muhimbili watolea ufafanuzi Hoja zilizotolewa na Dudubaya kuhusu MRI


MRI inatumia sumaku kuzunguka mwili wa binadamu bila mashine yenyewe kuzungusha kitu chochote kile kwa sababu sumaku inakua kama ni nguvu maalum ambayo inatengenezwa na mashine na hii sumaku ni kubwa kweli kweli ndio maana mgonjwa anapokuja kwenye MRI lazima anaambiwa atoe vyuma vyote alivyonavyo anabadilishwa nguo anavishwa nguo maalum ndio anaingizwa sasa kwa sababu ya aina ya utengenezaji wa mashine ndio inakuwa na masharti ya ziada.

Mashine tulizonazo hapa sisi zinatoa kelele kubwa sana ambayo ukimuingiza tu mgonjwa ukamuacha vilevile hofu itamfanya mgonjwa asitulie na kutulia ni kazi ya muhimu sana katika hiki kipimo, Mashine ya MRI ina sauti kubwa kuanzia DESIBELI 100..." amesema Mpoki Ulisubisya -Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI).
-----

Pia soma: Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India




​
Kawakulupusha walipojificha hahaha
 
Back
Top Bottom