Balozi mteule wa Marekani awasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Waziri Kom

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
π—•π—”π—Ÿπ—’π—­π—œ π— π—§π—˜π—¨π—Ÿπ—˜ π—ͺ𝗔 𝗠𝗔π—₯π—˜π—žπ—”π—‘π—œ 𝗔π—ͺπ—”π—¦π—œπ—Ÿπ—œπ—¦π—›π—” π—‘π—”π—žπ—”π—Ÿπ—” 𝗭𝗔 π—›π—”π—§π—œ 𝗭𝗔 π—¨π—§π—”π— π—•π—¨π—Ÿπ—œπ—¦π—›π—’ π—žπ—ͺ𝗔 π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π—žπ—’π— π—•π—’

Balozi Mteule wa Marekani nchini, Mhe. William Trachman amewasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Oktoba 13, 2026, katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.

Akizungumza baada ya kupokea nakala hizo, Mhe. Kombo amemkaribisha rasmi Balozi Trachman na kumpongeza kwa kuaminiwa kuwakilisha taifa lake nchini Tanzania. Amesisitiza nia ya Serikali ya kumpa ushirikiano ili kuhakikisha anafanikisha kazi zake kwa ufanisi na kuimarisha uhusiano thabiti uliopo baina ya Tanzania na Marekani.

Kwa upande wake, Balozi Mteule wa Marekani Mhe. William Trachman ameishukuru Serikali ya Tanzania kwa mapokezi Mazuri na kuahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia, kiuchumi na kijamii kwa manufaa ya pande zote mbili.

IMG-20261015-WA0137.jpg

IMG-20261015-WA0141.jpg
IMG-20261015-WA0146.jpg
IMG-20261015-WA0136.jpg


IMG-20261015-WA0146.jpg
IMG-20261015-WA0136.jpg
IMG-20261015-WA0145.jpg
IMG-20261015-WA0144.jpg
IMG-20261015-WA0149.jpg
IMG-20261015-WA0143.jpg
IMG-20261015-WA0142.jpg
IMG-20261015-WA0143.jpg
IMG-20261015-WA0142.jpg
IMG-20261015-WA0139.jpg
IMG-20261015-WA0148.jpg
IMG-20261015-WA0150.jpg
IMG-20261015-WA0140.jpg
IMG-20261015-WA0135.jpg
IMG-20261015-WA0147.jpg
IMG-20261015-WA0138.jpg
IMG-20261015-WA0148.jpg
 
Hahahahaaaa.... Unajua nacheka kwanini? Sijawahi kuona Eda ya mafungu mafungu. Juzi Samia alipokea utambulisho wa Mabalozi. Leo eti yupo Eda. 🀣🀣🀣. Au anapokea waarabu tu. Au anaogopa Balozi atamuuliza nani kaua watu 29 Oktoba 2025

 
Mhe. William Trachman amewasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Oktoba 13, 2026, katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
Mama yako hakuwepo??Coz za wale wengine wadogo alikuwepo.
 
Hahahahaaaa.... Unajua nacheka kwanini? Sijawahi kuona Eda ya mafungu mafungu. Juzi Samia alipokea utambulisho wa Mabalozi. Leo eti yupo Eda. 🀣🀣🀣. Au anapokea waarabu tu. Au anaogopa Balozi atamuuliza nani kaua watu 29 Oktoba 2025

... Huyo kaamua kumpa hadhi ya wizara husika!
 
Waziri wa mambo ya Nje kisheria nijukumu lake mana Mabolozi wote wanakua chini ya Wizara yake

KOMBO kaziyake kaiweza tuseme kweli
Tuwache wivu wivu wa kijinga!!!
 
Watanzania tufanye kazi ili taifa lisonge mbele zaidi

Kwasasa tupo vizuri Sekta nyingi tunapaswa kutunza Amani yetu na kugeukia kujituma kwamanufaa ya Taifa yetu!!!
 
Ukisha kuwa ofisa yanini kubana .... na kukunja mikono ? Relax gentleman unataka uonekane wewe ni kitengo zaidi ya wenye vitengo?
Screenshot_20261015-172048.png
 
Back
Top Bottom