Habari za Zanzibar
JF-Expert Member
- Dec 18, 2024
- 651
- 433
Mama yako hakuwepo??Coz za wale wengine wadogo alikuwepo.Mhe. William Trachman amewasilisha nakala za hati za utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Oktoba 13, 2026, katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam.
... Huyo kaamua kumpa hadhi ya wizara husika!Hahahahaaaa.... Unajua nacheka kwanini? Sijawahi kuona Eda ya mafungu mafungu. Juzi Samia alipokea utambulisho wa Mabalozi. Leo eti yupo Eda. π€£π€£π€£. Au anapokea waarabu tu. Au anaogopa Balozi atamuuliza nani kaua watu 29 Oktoba 2025
Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati za Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Mohamed Salem Ahmed Al Rashdi, Balozi Mteule wa Falme za Kiarabu (UAE) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 13 Oktoba, 2026.
Soma Pia: Rais Samia apokea Hati za Balozi mpya wa Sweden
- Zack Abdul
- rais samia
- Replies: 4
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko