Balozi Mteule wa USA Tanzania: Tanzania bado ni mshirika muhimu wa Marekani

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
18,875
Reaction score
29,427
Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda.

Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya Marekani, Trachman amesema matukio ya vurugu baada ya uchaguzi yameibua wasiwasi kuhusu mwelekeo wa Tanzania kama mshirika wa kuaminika, lakini anatambua hatua chanya ambazo Tanzania imeanza kuzichukua.

Amesema atakapothibitishwa kushika nafasi hiyo, atafanya kazi moja kwa moja na viongozi wa Tanzania, akiwemo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kuendeleza maeneo ya ushirikiano yenye manufaa kwa pande zote na kusaidia utulivu wa ukanda wa Afrika Mashariki.

Katika hatua nyingine, ameielezea Tanzania kuwa nchi muhimu kimkakati duniani kutokana na idadi ya watu zaidi ya milioni 65, urithi mkubwa wa tamaduni kutoka zaidi ya makabila 120 na utajiri wa rasilimali asilia.

Soma Pia: Balozi Mteule wa Marekani Nchini Tanzania (Trachman) Aweka Wazi Vipaumbele Vyake Seneti, Aguswa na Uchaguzi wa 2025!

Amesema kwa miongo mingi Tanzania na Marekani zimeendelea kushirikiana kwa karibu katika afya, usalama na maendeleo ya uchumi, huku uhusiano huo ukijengwa katika msingi wa kuheshimiana na maslahi ya pamoja.

Screenshot_20260508_174449_Instagram.jpg
 
Kila nchi inajali maslayi yakr mapana kwanxa, USA wananufaika zaidi na CCM kuliko kinyaa cha kushirikiana na serikali dhalimu.

By the way, serikali zoote ni dhalimu tu, Matracko yao wote.
 
Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda.

Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya Marekani, Trachman amesema matukio ya vurugu baada ya uchaguzi yameibua wasiwasi kuhusu mwelekeo wa Tanzania kama mshirika wa kuaminika, lakini anatambua hatua chanya ambazo Tanzania imeanza kuzichukua.

Amesema atakapothibitishwa kushika nafasi hiyo, atafanya kazi moja kwa moja na viongozi wa Tanzania, akiwemo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kuendeleza maeneo ya ushirikiano yenye manufaa kwa pande zote na kusaidia utulivu wa ukanda wa Afrika Mashariki.

Katika hatua nyingine, ameielezea Tanzania kuwa nchi muhimu kimkakati duniani kutokana na idadi ya watu zaidi ya milioni 65, urithi mkubwa wa tamaduni kutoka zaidi ya makabila 120 na utajiri wa rasilimali asilia.

Soma Pia: Balozi Mteule wa Marekani Nchini Tanzania (Trachman) Aweka Wazi Vipaumbele Vyake Seneti, Aguswa na Uchaguzi wa 2025!

Amesema kwa miongo mingi Tanzania na Marekani zimeendelea kushirikiana kwa karibu katika afya, usalama na maendeleo ya uchumi, huku uhusiano huo ukijengwa katika msingi wa kuheshimiana na maslahi ya pamoja.

View attachment 3585776
Of course wanajua Tanzania ni zaidi ya lile nungayembe la Kizimkazi ambalo limeinajisi.
 
ofcourse, watawala wanapita nchi na wananchi tunabakia na tutare-negotiate upya uhusiano wetu na USA, ndiyo maana yake ...
Hata wao wana changamoto zao lakini hawawezi kuacha kushirikiana na Tanzania kwa sababu ya matukio ya 29/10 au Tundu kuwa ndani. Pole lwa wale wanaodhani eti USA wanaweza wakaweka mashafti, hakuna kitu kama hicho.

Yoda, Erythrocyte, CHIEF PRIEST
 
Of course wanajua Tanzania ni zaidi ya lile nungayembe la Kizimkazi ambalo limeinajisi.
Bado mnaamini kuwa Mange Kimambi na Maria Sarungi wanawasaidia kuishawishi Serikali ya USA kuiwekea vikwazo Tz.

Yaani wakawasikie hao malaya wauza papuchi?? You are not serious guys
 
They don’t need to rely on anyone. Serikali ya USA inaijua Tanzania kuliko most Tanzanians wanavyoijua!
 
Hata wao wana changamoto zao lakini hawawezi kuacha kushirikiana na Tanzania kwa sababu ya matukio ya 29/10 au Tundu kuwa ndani. Pole lwa wale wanaodhani eti USA wanaweza wakaweka mashafti, hakuna kitu kama hicho.

Yoda, Erythrocyte, CHIEF PRIEST
Kwangu mimi hiyo siyo habari, naifahamu Marekani na sera zake kuliko unavyoifahamu wewe na hata siku moja sijaishobokea Marekani.
 
Bado mnaamini kuwa Mange Kimambi na Maria Sarungi wanawasaidia kuishawishi Serikali ya USA kuiwekea vikwazo Tz.

Yaani wakawasikie hao malaya wauza papuchi?? You are not serious guys
Wewe ni nguruwe yule yule.
Sasa hii taarifa inao uhusiano gani na Samia Mhalifu. Huwezi kuchanganua kati ya Tanzania kama taifa na Mhalifu Samia?

Balozi mtarajiwa anazungumzia Tanzania siyo majambazi yaliyoiteka nchi. Haya tutayawajibisha wenyewe, hiyo siyo kazi ya Marekani kufanya.
 
Hata wao wana changamoto zao lakini hawawezi kuacha kushirikiana na Tanzania kwa sababu ya matukio ya 29/10 au Tundu kuwa ndani. Pole lwa wale wanaodhani eti USA wanaweza wakaweka mashafti, hakuna kitu kama hicho.

Yoda, Erythrocyte, CHIEF PRIEST

wote hatujui mpaka sasa hivi hata raisi wako hajui pia, lkn nielewavyo USA wana intelligence yao Dunia nzima, hata hapa tanzagiza wapo pia na wanafanya briefing kila siku kwa serikali yao, hivyo wanajua mengi klk wewe na mimi, na kama hawamtaki raisi wako itakuwa hivyo itabidi apambane nao sasa na atakayeshinda, atakuwa ameshinda, muda utaongea ...
 
Wewe ni nguruwe yule yule.
Sasa hii taarifa inao uhusiano gani na Samia Mhalifu. Huwezi kuchanganua kati ya Tanzania kama taifa na Mhalifu Samia?

Balozi mtarajiwa anazungumzia Tanzania siyo majambazi yaliyoiteka nchi. Haya tutayawajibisha wenyewe, hiyo siyo kazi ya Marekani kufanya.
Kwani Rais wa Tanzania ni nani? Je akifika Dar atamkabidhi John Heche au Godbless Lema nyaraka za ubalozi?
 
wote hatujui mpaka sasa hivi hata raisi wako hajui pia, lkn nielewavyo USA wana intelligence yao Dunia nzima, hata hapa tanzagiza wapo pia na wanafanya briefing kila siku kwa serikali yao, hivyo wanajua mengi klk wewe na mimi, na kama hawamtaki raisi wako itakuwa hivyo itabidi apambane nao sasa na atakayeshinda, atakuwa ameshinda, muda utaongea ...
Wamekwanbia lini hawamtaki Rais wetu?
 
Back
Top Bottom