CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Unajishusha sana hadi umefikia level ya Lucas Mwashambwa, inasikitisha sana !!!!Unaijua Marekani kuliko hata Barack Obama au 50 cents. Sawa msukuma
Unajishusha sana hadi umefikia level ya Lucas Mwashambwa, inasikitisha sana !!!!Unaijua Marekani kuliko hata Barack Obama au 50 cents. Sawa msukuma
Nafahamu vizuri sana na najua utawala wa Trump shida yake ni rasilimali tu wala sio mambo ya demokrasia au eti kukandamizwa kwa Ukristo kama Zionist Ted Cruz alivyokuwa anadai, Trump sio muumini wa demokrasia kabisa. Katika vurumai zote hizi zinazoendelea itakayopoteza zaidi ni Tanzania kama nchi na raia wake kwa sababu mama yenu yuko katika taswira mbaya sana kimataifa kwa sasa hivyo atalazimika kuwalegezea Wamarekani kenye rasilimali zetu ili waache kelele zao.Hata wao wana changamoto zao lakini hawawezi kuacha kushirikiana na Tanzania kwa sababu ya matukio ya 29/10 au Tundu kuwa ndani. Pole lwa wale wanaodhani eti USA wanaweza wakaweka mashafti, hakuna kitu kama hicho.
Yoda, Erythrocyte, CHIEF PRIEST
Usiwadharau hivyo Maria na Mange, Trump mwenyewe amemuoa Melania muuza papuchi, hiyo sio ishu hata kama ingekuwa ni kweli.Bado mnaamini kuwa Mange Kimambi na Maria Sarungi wanawasaidia kuishawishi Serikali ya USA kuiwekea vikwazo Tz.
Yaani wakawasikie hao malaya wauza papuchi?? You are not serious guys
Muda utasema...Nafahamu vizuri sana na najua utawala wa Trump shida yake ni rasilimali tu wala sio mambo ya demokrasia au eti kukandamizwa kwa Ukristo kama Zionist Ted Cruz alivyokuwa anadai, Trump sio muumini wa demokrasia kabisa. Katika vurumai zote hizi zinazoendelea itakayopoteza zaidi ni Tanzania kama nchi na raia wake kwa sababu mama yenu yuko katika taswira mbaya sana kimataifa kwa sasa hivyo atalazimika kuwalegezea Wamarekani kenye rasilimali zetu ili waache kelele zao.
Mimi cheo changu ni Kuhani Mkuu tu hayo mengine baki nayo mwenyewe.Ondoa neno "kama", maisha yataendelea tu. Sera ya USA haina "rafiki wa kudumu" bali ina "masilahi ya kudumu"
Melania alikuwa Model huko Milan na Paris. Alianza profession akiwa na miaka 16 huko Slovenia. Usimfananishe na hao mashngazi wasambaza UTI na HIVUsiwadharau hivyo Maria na Mange, Trump mwenyewe amemuoa Melania muuza papuchi, hiyo sio ishu hata kama ingekuwa ni kweli.
Hujui chochote, Melania alipelekwa kwa Trump na Epistien.Melania alikuwa Model huko Milan na Paris. Alianza profession akiwa na miaka 16 huko Slovenia. Usimfananishe na hao mashngazi wasambaza UTI na HIV
Usiishi kwa kukariri, mimi siyo kuhani wa hizo dini zenu za kutoka Mashariki ya Kati, mimi ni Kuhani wa Dini za mababu zangu, karibu sana madhabahu yangu iko hapa Misungwi.Siku hizi makuhani wote ni matapeli tu ndiyo hao akina Geofavie, Mwamposa, Gwajima etc
Kwani neno kuhani unalielewa vipi, tuanzie hapo, ndiyo maana nimekuambia usiishi kwa kukariri.Hakuna kuhani kwenye dini za Kiafrika, acha uwongo
Haki yake ni jela, au kupelekwa kuzimu kwa aibu kubwa.Haki yake ameshaipata yuko Ikulu hadi 2030, endeleeni kulia na kusaga meno
Samia siyo Rais wa Tanzania. Ni jambazi linaloishikilia nchi kwa mitutu ya bunduki.Kwani Rais wa Tanzania ni nani? Je akifika Dar atamkabidhi John Heche au Godbless Lema nyaraka za ubalozi?