Of course wanajua Tanzania ni zaidi ya lile nungayembe la Kizimkazi ambalo limeinajisi.Balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, William Trachman, amesema pamoja na changamoto zilizojitokeza baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025, bado Tanzania inaendelea kuwa mshirika muhimu wa Marekani katika biashara, usalama na maendeleo ya kikanda.
Katika hotuba yake mbele ya Kamati ya Seneti ya Marekani, Trachman amesema matukio ya vurugu baada ya uchaguzi yameibua wasiwasi kuhusu mwelekeo wa Tanzania kama mshirika wa kuaminika, lakini anatambua hatua chanya ambazo Tanzania imeanza kuzichukua.
Amesema atakapothibitishwa kushika nafasi hiyo, atafanya kazi moja kwa moja na viongozi wa Tanzania, akiwemo Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, kuendeleza maeneo ya ushirikiano yenye manufaa kwa pande zote na kusaidia utulivu wa ukanda wa Afrika Mashariki.
Katika hatua nyingine, ameielezea Tanzania kuwa nchi muhimu kimkakati duniani kutokana na idadi ya watu zaidi ya milioni 65, urithi mkubwa wa tamaduni kutoka zaidi ya makabila 120 na utajiri wa rasilimali asilia.
Soma Pia: Balozi Mteule wa Marekani Nchini Tanzania (Trachman) Aweka Wazi Vipaumbele Vyake Seneti, Aguswa na Uchaguzi wa 2025!
Amesema kwa miongo mingi Tanzania na Marekani zimeendelea kushirikiana kwa karibu katika afya, usalama na maendeleo ya uchumi, huku uhusiano huo ukijengwa katika msingi wa kuheshimiana na maslahi ya pamoja.
View attachment 3585776
Hata wao wana changamoto zao lakini hawawezi kuacha kushirikiana na Tanzania kwa sababu ya matukio ya 29/10 au Tundu kuwa ndani. Pole lwa wale wanaodhani eti USA wanaweza wakaweka mashafti, hakuna kitu kama hicho.ofcourse, watawala wanapita nchi na wananchi tunabakia na tutare-negotiate upya uhusiano wetu na USA, ndiyo maana yake ...
Bado mnaamini kuwa Mange Kimambi na Maria Sarungi wanawasaidia kuishawishi Serikali ya USA kuiwekea vikwazo Tz.Of course wanajua Tanzania ni zaidi ya lile nungayembe la Kizimkazi ambalo limeinajisi.
They don’t need to rely on anyone. Serikali ya USA inaijua Tanzania kuliko most Tanzanians wanavyoijua!Bado mnaamini kuwa Mange Kimambi na Maria Sarungi wanawasaidia kuishawishi Serikali ya USA kuiwekea vikwazo Tz.
Yaani wakawasikie hao malaya wauza papuchi?? You are not serious guys
Kwangu mimi hiyo siyo habari, naifahamu Marekani na sera zake kuliko unavyoifahamu wewe na hata siku moja sijaishobokea Marekani.Hata wao wana changamoto zao lakini hawawezi kuacha kushirikiana na Tanzania kwa sababu ya matukio ya 29/10 au Tundu kuwa ndani. Pole lwa wale wanaodhani eti USA wanaweza wakaweka mashafti, hakuna kitu kama hicho.
Yoda, Erythrocyte, CHIEF PRIEST
Mimi ni Msukuma na kuijua Marekani siyo lazima uwe mtoto wa Trump.Kwa vile wewe ni mtoto wa Trump, sawa
Wewe ni nguruwe yule yule.Bado mnaamini kuwa Mange Kimambi na Maria Sarungi wanawasaidia kuishawishi Serikali ya USA kuiwekea vikwazo Tz.
Yaani wakawasikie hao malaya wauza papuchi?? You are not serious guys
Samia ni Haramia. Anasubiri tu haki yake wakati wowoteJipanngeni kwa 2030 msifanye makosa ya 2025.
Hata wao wana changamoto zao lakini hawawezi kuacha kushirikiana na Tanzania kwa sababu ya matukio ya 29/10 au Tundu kuwa ndani. Pole lwa wale wanaodhani eti USA wanaweza wakaweka mashafti, hakuna kitu kama hicho.
Yoda, Erythrocyte, CHIEF PRIEST
Kwani Rais wa Tanzania ni nani? Je akifika Dar atamkabidhi John Heche au Godbless Lema nyaraka za ubalozi?Wewe ni nguruwe yule yule.
Sasa hii taarifa inao uhusiano gani na Samia Mhalifu. Huwezi kuchanganua kati ya Tanzania kama taifa na Mhalifu Samia?
Balozi mtarajiwa anazungumzia Tanzania siyo majambazi yaliyoiteka nchi. Haya tutayawajibisha wenyewe, hiyo siyo kazi ya Marekani kufanya.
Wamekwanbia lini hawamtaki Rais wetu?wote hatujui mpaka sasa hivi hata raisi wako hajui pia, lkn nielewavyo USA wana intelligence yao Dunia nzima, hata hapa tanzagiza wapo pia na wanafanya briefing kila siku kwa serikali yao, hivyo wanajua mengi klk wewe na mimi, na kama hawamtaki raisi wako itakuwa hivyo itabidi apambane nao sasa na atakayeshinda, atakuwa ameshinda, muda utaongea ...
Hamtafika hukoJipanngeni kwa 2030 msifanye makosa ya 2025.
Wamekwanbia lini hawamtaki Rais wetu?